Kwanini Victoria Charles Mwanziva, Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa 2022-2027

Kweli tupu hapo anatafuta maslahi yake basi
 
Acha uongo mnafiki namdini wewe ndio maana mmejazana Waislamu kuanzia uenyekiti hadi umakamu mnataka Mwislamu tena hiki sio chama cha dini moja bali wote.
 

Acha majungu huyu dada ana uwezo.
 
Acha uongo mnafiki namdini wewe ndio maana mmejazana Waislamu kuanzia uenyekiti hadi umakamu mnataka Mwislamu tena hiki sio chama cha dini moja bali wote.
Ndio mnastuka saa hizi? Mshapigwa tatu bila wana parokia.
 

Attachments

  • IMG-20221118-WA0024.jpg
    62.1 KB · Views: 17
Hakika Sasa Jumuiya ya Vijana inakwenda kupata Viongozi Makini na wenye uwezo Mkubwa katika Kuwasemea Vijana na kutengeneza Fursa Mbalimbali kwa Vijana wote bila kujali itikadi za vyama vyetu. Bila Shaka yoyote VICTORIA C MWANZIVA MGOMBEA NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA Ndio Chaguo Sahihi kwa Maendeleo ya Vijana Nchini ndani ya Chama na Nje ya Chama.

 
Nipo tayari kumchagua. Ila lazima mtoe kitu kidogo. Maana ninatambua fika, hakuna kura za bure ndani ya ccm.
 
Ndugu Mjumbe wa Mkutano Mkuu UVCCM Taifa- kwa unyenyekevu mkubwa ninakuomba unishike mkono; ninaomba kura yako ya ndio kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa

#VictoriaMwanziva
#UongoziShirikishi
 

Attachments

  • IMG-20221124-WA0203.jpg
    45 KB · Views: 16
Wezi na wanafiki tu!!!

Wanafunga mikono kujifanya watakatifu wakipewa madaraka wanakuoneni vibwengo mnaishia kurudi humu kuwalalamikia!!!


Hivi binadamu wa kitanzania chini ya 50yrz na maisha haya ya mbio mbio unaweza vipi ku-maintanin hizi siasa za wenye njaa kutaka kushibisha matumbo yao hata kwa njia haramu?
 
Huyu dada ameolewa ,ni swali TU

USSR
 
Ndugu Mjumbe wa Mkutano Mkuu UVCCM Taifa- kwa unyenyekevu mkubwa ninakuomba unishike mkono; ninaomba kura yako ya ndio kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa

#VictoriaMwanziva
#UongoziShirikishi
Galafu mkiishapata hizo nafsi mnaanza kutumika kutisha wenye Mawazo tofauti ndani ya Chama!

UV-CCM mmepoteza Dira,hasa kuanzia uongozi wa Kheri James na hawa kina Kihongosi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…