ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Davido ni mega superstar, na ni msanii ambaye amesign na Sony internationa ndani ya management mpya.
Ndani ya wiki mbili zilizopita ameachia ngoma mbili, gbagbe oshi na ingine. Lakini nimeshangaa sana sina views kidogo ukilinganisha na ukubwa wake, tofauti kabisa na Psquare ambao wimbo wao wa benki alert umepokewa vema.
Je, davido ameshachoka kimziki, au ni Diamond anamloga, au kwakuwa kabadili staili ya kuimba.
Au ndio gundu la Sony, kama alilopata Ali Kiba?
Embu wachambuzi mfanye analysis hapa.