Kwanini video za nyimbo za Davido zina views chache?

Kwanini video za nyimbo za Davido zina views chache?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Davido ni mega superstar, na ni msanii ambaye amesign na Sony internationa ndani ya management mpya.

Ndani ya wiki mbili zilizopita ameachia ngoma mbili, gbagbe oshi na ingine. Lakini nimeshangaa sana sina views kidogo ukilinganisha na ukubwa wake, tofauti kabisa na Psquare ambao wimbo wao wa benki alert umepokewa vema.

Je, davido ameshachoka kimziki, au ni Diamond anamloga, au kwakuwa kabadili staili ya kuimba.

Au ndio gundu la Sony, kama alilopata Ali Kiba?

Embu wachambuzi mfanye analysis hapa.
 
Akitaka arudi kwenye chat aombe show ya final fiesta ya dar tofauti na hapo kijana kasha potea!
 
Nenda instagram ukamseach @shiloke official kafanya analysis nzur sana
 
Overated tu huyo jamaa Yaaaan msanii mkare Nigeria ni runtown tu hajawahi kuniangusha
 
Mkuu views naskia zinauzwa source@kibakuli [HASHTAG]#DIAMOND[/HASHTAG] 4 LIFE [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG]
 
Mbona watanzania mnaamin sana katika uchawi kuliko katika juhudi za mtu binafsi
Hahahah m siamn ivyo mkuu.Nimesema uende kwake sababu kwny pita pita zangu Leo mitandaoni nmekutana na iyo ktu ambayo imeendana na title yko
 
Mlishaambiwa sony deal sip poa tena kwa analysis thread ilikuja humu....sony hawana muda kusimamia wasanii wana mambo mengi wana deal na big fish....
 
Sina Team ila ukitaka kumuongelea kibakuli na Sony yake yooooooo.
 
Au na yeye wamemzimia mic? Maana huyu Diamond ni fitna Sana, ndio sababu aendelei.
 
Nenda kaangalie nyimbo za J COLE wa USA anakuwaga na views ngapi kwa nyimbo zake.....jibu Ni kuwa wala sio nyingi but nenda kwenye mauzo yake uone...utakaaa chini...wanapiga Platinum huko. So views Ni kama kupiga chabo tu nothing more . wapiga chabo wengi wabahili hawanunui so utabaki na views kibao but watu wanakuchunia tu.
 
View nyingi zinampa jeuri diamond hadi kumkashifu Rick Ross kwamba amemzidi views lakini ukiangalia Rozay hadi Pakistan wanamjua,yeye anajulikana Magubike tu.
 
Hahahah m siamn ivyo mkuu.Nimesema uende kwake sababu kwny pita pita zangu Leo mitandaoni nmekutana na iyo ktu ambayo imeendana na title yko
Nimejibu ivo kutokana na yeye jinsi alivo analyse iyo kitu so tuamini ktk juhud maswala ya uchai kwny ulimwengu huu wa digital hayana faida
 
Back
Top Bottom