ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Mbona watanzania mnaamin sana katika uchawi kuliko katika juhudi za mtu binafsiNenda instagram ukamseach @shiloke official kafanya analysis nzur sana
....kazimiwa views
Ushawahi msikia bichwa kiba akiliongelea hilo swala la kununua viewMkuu views naskia zinauzwa source@kibakuli [HASHTAG]#DIAMOND[/HASHTAG] 4 LIFE [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG]
Hahahah m siamn ivyo mkuu.Nimesema uende kwake sababu kwny pita pita zangu Leo mitandaoni nmekutana na iyo ktu ambayo imeendana na title ykoMbona watanzania mnaamin sana katika uchawi kuliko katika juhudi za mtu binafsi
View nyingi zinampa jeuri diamond hadi kumkashifu Rick Ross kwamba amemzidi views lakini ukiangalia Rozay hadi Pakistan wanamjua,yeye anajulikana Magubike tu.Nenda kaangalie nyimbo za J COLE wa USA anakuwaga na views ngapi kwa nyimbo zake.....jibu Ni kuwa wala sio nyingi but nenda kwenye mauzo yake uone...utakaaa chini...wanapiga Platinum huko. So views Ni kama kupiga chabo tu nothing more . wapiga chabo wengi wabahili hawanunui so utabaki na views kibao but watu wanakuchunia tu.
Nimejibu ivo kutokana na yeye jinsi alivo analyse iyo kitu so tuamini ktk juhud maswala ya uchai kwny ulimwengu huu wa digital hayana faidaHahahah m siamn ivyo mkuu.Nimesema uende kwake sababu kwny pita pita zangu Leo mitandaoni nmekutana na iyo ktu ambayo imeendana na title yko