Mkizimiwa mic mnapaniki ona sasa ulichokiongea.View nyingi zinampa jeuri diamond hadi kumkashifu Rick Ross kwamba amemzidi views lakini ukiangalia Rozay hadi Pakistan wanamjua,yeye anajulikana Magubike tu.
umeonA eeeh! viewers ni kama mimi hapa nimepita youtube nimeona song la mwanafa nimelick but after 25 seconds nimeliona baya nikaamua kukancel na kuendelea na mambo yangu. wabongo muache kuchanganyikiwa na viwersView nyingi zinampa jeuri diamond hadi kumkashifu Rick Ross kwamba amemzidi views lakini ukiangalia Rozay hadi Pakistan wanamjua,yeye anajulikana Magubike tu.
Kabla sijakuita MUONGO...Nenda kaangalie nyimbo za J COLE wa USA anakuwaga na views ngapi kwa nyimbo zake.....jibu Ni kuwa wala sio nyingi but nenda kwenye mauzo yake uone...utakaaa chini...wanapiga Platinum huko. So views Ni kama kupiga chabo tu nothing more . wapiga chabo wengi wabahili hawanunui so utabaki na views kibao but watu wanakuchunia tu.
tatizo wachagua nyimboKabla sijakuita MUONGO...
Unamzungumzia J Cole yupi..!?
Huyu hapa chini..?
View attachment 419212
Au J Cole yule mchezaji wa zamani wa Chelsea FC..?
Weka nyimbo yyte ya jcole iliyo chini ya million views.tatizo wachagua nyimbo
Sababu upo.......!Mbona watanzania mnaamin sana katika uchawi kuliko katika juhudi za mtu binafsi
Hahahahaaaaa....Magubike itakuwa maeneo flan ya gairoView nyingi zinampa jeuri diamond hadi kumkashifu Rick Ross kwamba amemzidi views lakini ukiangalia Rozay hadi Pakistan wanamjua,yeye anajulikana Magubike tu.
Unajua bado nimepiga mbonji aisee, jamaa akikuwekea hiyo video; naomba uni-tag!Weka nyimbo yyte ya jcole iliyo chini ya million views.
Natamani kufahamu ni wapi Diamond amemkashifu Rick Ross. Tusaidie hata clip basi.View nyingi zinampa jeuri diamond hadi kumkashifu Rick Ross kwamba amemzidi views lakini ukiangalia Rozay hadi Pakistan wanamjua,yeye anajulikana Magubike tu.
akikujibu naomba unitag mkuuNatamani kufahamu ni wapi Diamond amemkashifu Rick Ross. Tusaidie hata clip basi.
Itakuwa management ya mond inamwibia viewers kijanja kwenye mtandao si bureDavido ni mega superstar, na ni msanii ambaye amesign na Sony internationa ndani ya management mpya.
Ndani ya wiki mbili zilizopita ameachia ngoma mbili, gbagbe oshi na ingine. Lakini nimeshangaa sana sina views kidogo ukilinganisha na ukubwa wake, tofauti kabisa na Psquare ambao wimbo wao wa benki alert umepokewa vema.
Je, davido ameshachoka kimziki, au ni Diamond anamloga, au kwakuwa kabadili staili ya kuimba.
Au ndio gundu la Sony, kama alilopata Ali Kiba?
Embu wachambuzi mfanye analysis hapa.
walianza kutafuta maisha kablaA.K.A na Casper Vyovest Hawana View nyingi kama Diamond ila ni Mabilionea kwenye Rand...Mkuu Views zisikuumize kichwa
Mkuu unamZugumzia j.cole huyu huyu ambaye ukisikiliza album zke unatamani nyimbo zote uzi rewind au mwingine ww itakuwa una angalia video zke kwny channel zigine n sio official channel ykeNenda kaangalie nyimbo za J COLE wa USA anakuwaga na views ngapi kwa nyimbo zake.....jibu Ni kuwa wala sio nyingi but nenda kwenye mauzo yake uone...utakaaa chini...wanapiga Platinum huko. So views Ni kama kupiga chabo tu nothing more . wapiga chabo wengi wabahili hawanunui so utabaki na views kibao but watu wanakuchunia tu.
Kuna Youtube Channel ya DJLilOmmy WA Times Fm itafute uisikie mwenyewe akifanya nae interview jaymos flan hivi tarehe uno 2weeks ago.Natamani kufahamu ni wapi Diamond amemkashifu Rick Ross. Tusaidie hata clip basi.