Kwanini video za nyimbo za Davido zina views chache?

Kwanini video za nyimbo za Davido zina views chache?

View nyingi zinampa jeuri diamond hadi kumkashifu Rick Ross kwamba amemzidi views lakini ukiangalia Rozay hadi Pakistan wanamjua,yeye anajulikana Magubike tu.
umeonA eeeh! viewers ni kama mimi hapa nimepita youtube nimeona song la mwanafa nimelick but after 25 seconds nimeliona baya nikaamua kukancel na kuendelea na mambo yangu. wabongo muache kuchanganyikiwa na viwers
 
Nenda kaangalie nyimbo za J COLE wa USA anakuwaga na views ngapi kwa nyimbo zake.....jibu Ni kuwa wala sio nyingi but nenda kwenye mauzo yake uone...utakaaa chini...wanapiga Platinum huko. So views Ni kama kupiga chabo tu nothing more . wapiga chabo wengi wabahili hawanunui so utabaki na views kibao but watu wanakuchunia tu.
Kabla sijakuita MUONGO...
Unamzungumzia J Cole yupi..!?
Huyu hapa chini..?
Screenshot_20161016-201631.png

Au J Cole yule mchezaji wa zamani wa Chelsea FC..?
 
View nyingi zinampa jeuri diamond hadi kumkashifu Rick Ross kwamba amemzidi views lakini ukiangalia Rozay hadi Pakistan wanamjua,yeye anajulikana Magubike tu.
Hahahahaaaaa....Magubike itakuwa maeneo flan ya gairo
 
View nyingi zinampa jeuri diamond hadi kumkashifu Rick Ross kwamba amemzidi views lakini ukiangalia Rozay hadi Pakistan wanamjua,yeye anajulikana Magubike tu.
Natamani kufahamu ni wapi Diamond amemkashifu Rick Ross. Tusaidie hata clip basi.
 
Hahaha eti au Diamond kamloga! Hivi Diamond ni mchawi sana eenhe?
 
Davido ni mega superstar, na ni msanii ambaye amesign na Sony internationa ndani ya management mpya.

Ndani ya wiki mbili zilizopita ameachia ngoma mbili, gbagbe oshi na ingine. Lakini nimeshangaa sana sina views kidogo ukilinganisha na ukubwa wake, tofauti kabisa na Psquare ambao wimbo wao wa benki alert umepokewa vema.

Je, davido ameshachoka kimziki, au ni Diamond anamloga, au kwakuwa kabadili staili ya kuimba.

Au ndio gundu la Sony, kama alilopata Ali Kiba?

Embu wachambuzi mfanye analysis hapa.
Itakuwa management ya mond inamwibia viewers kijanja kwenye mtandao si bure
 
A.K.A na Casper Vyovest Hawana View nyingi kama Diamond ila ni Mabilionea kwenye Rand...Mkuu Views zisikuumize kichwa
 
Bongo mnanchekesha sana kwenye swala la views, kaangalie work ya rihanna ilivobamba mwaka huu lakin hata billion moja haijafka, afu check WORK FROM HOME ya fifth harmony ina more than one billion views na Nina uhakika watu wengi hapa bongo hamujui.

Swala LA views ni kwa namna gani mashabiki wako wanajituma kuangalia uo wimbo make kila ukirefresh utube INA count kama view nyingne
 
A.K.A na Casper Vyovest Hawana View nyingi kama Diamond ila ni Mabilionea kwenye Rand...Mkuu Views zisikuumize kichwa
walianza kutafuta maisha kabla
halafu hela yao sio kama yetu...

utuwekee basi na huo ubilionea kiasi gani tuone[emoji12]
 
viewers wana faida yake, tena kubwa sana..
sio kwamba hakuna msanii asietaka viewers wengi kwenye video yake kwa namna moja ama nyingine..

huwezi kufananisha ukubwa wa diamond na tunda man hata bila kuwajua.
ukaingia u tube ukaangalia tu video zao mbili za mwaka juzi hapo ndo utajua viewers ni nini..
viewers wanalipa
viewers ni fans
viewers wanaonyesha ukubwa na kukubalika kwa msanii ama muziki/video
 
Nenda kaangalie nyimbo za J COLE wa USA anakuwaga na views ngapi kwa nyimbo zake.....jibu Ni kuwa wala sio nyingi but nenda kwenye mauzo yake uone...utakaaa chini...wanapiga Platinum huko. So views Ni kama kupiga chabo tu nothing more . wapiga chabo wengi wabahili hawanunui so utabaki na views kibao but watu wanakuchunia tu.
Mkuu unamZugumzia j.cole huyu huyu ambaye ukisikiliza album zke unatamani nyimbo zote uzi rewind au mwingine ww itakuwa una angalia video zke kwny channel zigine n sio official channel yke
 
Attachments

  • 1476795892361.jpg
    1476795892361.jpg
    16.6 KB · Views: 40
nyota ya davido ishafifia..saiv ni zamu ya damu mya kama kina tecno miles
 
Natamani kufahamu ni wapi Diamond amemkashifu Rick Ross. Tusaidie hata clip basi.
Kuna Youtube Channel ya DJLilOmmy WA Times Fm itafute uisikie mwenyewe akifanya nae interview jaymos flan hivi tarehe uno 2weeks ago.
 
Back
Top Bottom