Kwanini vifo vya Amina Chifupa na mumewe Medi Mpakanjia vilikuwa vina maswali mengi kuliko majibu?

Kwanini vifo vya Amina Chifupa na mumewe Medi Mpakanjia vilikuwa vina maswali mengi kuliko majibu?

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Nimepitia jukwaani nikaona picha ya Amina Chifupa nikakumbuka namna alivyofariki na kutuachia maswali mengi.

Hayati Amina Chifupa alisema ana list ya wauza “poda” na atawataja hadharani bungeni. Mpaka anaenda kaburini hakuweza kuitaja kwani aliumwa mfululizo.

Miaka kadhaa baadae, mume wa Amina, mfanyabiashara Medi Mpakanjia ambaye mtaani inasemekana nae alikuwa anauza “poda” nae akafariki ghafla tu! Maswali yakawa mengi na kukosa majibu.

Ikimbukwe mwanzoni mwa miaka ya 2000 hawa walikuwa ni miongoni mwa mastaa waliokuwa wanatikisa Bongo.

Kwanini vifo vyao vimeacha maswali mengi?
 
Nilikuwa mdogo kipindi hicho, namsikia Amina Chifupa, alikuwa mbunge machachari.
 
Amina alifariki kwa ugonjwa wa sukari na malaria mwaka 2007 huku mume akimfuata mwaka 2009 na nimonia

Source: Bongo5

Kumbe aliyapatia maisha mapema manake alikufa akiwa na miaka 26 tu
 
Amina alifariki kwa ugonjwa wa sukari na malaria mwaka 2007 huku mume akimfuata mwaka 2009 na nimonia

Source: Bongo5

Kumbe aliyapatia maisha mapema manake alikufa akiwa na miaka 26 tu
Sukari at 26 ?
 
Medi hakufariki ghafla alikuwa mgonjwa kwa muda, na chanzo cha yote ni baada ya kukuoa yule gold digger Aisha Buri, kifo cha mke wake kikamvuruga, biashara zake zikaanza kuyumba, mwishowe magonjwa yakaanza kumuandama akafariki.
 
Back
Top Bottom