matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Sasa mtu maisha yake yote pesa anapata kwa njia ya SHOBO, UCHAWA na KUJIPENDEKEZA unategemea anajua hata kutafuta kwa Jasho.Najaribu kujiuliza.
Viongozi wakubwa wanapostaafu, wanapofukuzwa Kazi, wanaposimamishwa Kazi ghafla wanakuwa masikini, ombaomba, na wagonjwa kwa asilimia Kubwa.
Cha ajabu ukienda Nigeria wale Magavana huwa ni matajiri balaa. Mfano mmoja niliona kajenga kanisa LA mamillioni peke yake.
Tatizo hili ni mini
Wapewe semina ya ujasiliamali?
Kwa nini wasiwekeze kwenye hati
fungani wawe wanalipwa kiulaini?
Wamezoea pesa za madili?
System, jinsi ilivyo inawafanya wawe hivyo, pili elimu yetu maliza degree ajiriwa mpaka miaka 60, unastaafu ukiwa mkweche, tatu watu kulidhika wakiwa kwenye viyoyozi maofisini, kiyoyozi kikikata basi na wewe chali, nne familia zetu ni tegemezi sana ukiwa unafanya kazi wanakuona wewe kama mwokozi kwa familia kila shida ya ukoo ni wewe tu kana kwmaba familia nzima wewe ndo mwenye kichwa cha fikra tu.muda mwingi kusomesha watoto wa ndugu jamaa majirani hivyo saving inakuwa hakuna, unastaafu huna kitu kabisa. Miashahara midogo sana kiduchu hivyo mtu anahishi hand to mouth. Ndugu zetu wengi baba zetu mama zetu wamesitaafu bila bila pesa hivyo upelekea kuwa na matatizo ya kiafya na kifo mlangoni.Najaribu kujiuliza.
Viongozi wakubwa wanapostaafu, wanapofukuzwa Kazi, wanaposimamishwa Kazi ghafla wanakuwa masikini, ombaomba, na wagonjwa kwa asilimia Kubwa.
Cha ajabu ukienda Nigeria wale Magavana huwa ni matajiri balaa. Mfano mmoja niliona kajenga kanisa LA mamillioni peke yake.
Tatizo hili ni mini
Wapewe semina ya ujasiliamali?
Kwa nini wasiwekeze kwenye hati
fungani wawe wanalipwa kiulaini?
Wamezoea pesa za madili?
Makonda,Kangi et alUngeandika kwa mfano nanii na nanii ili kuweka uzito wa hoja yako.
Makonda,Kangi et al
Mkuu, ninadhani ungesema kuwa wanakuwa katika hali tofauti ya kiuchumi kulinganisha na zamani unakuwa sahihi zaidi kuliko kusema masikini.Najaribu kujiuliza.
Viongozi wakubwa wanapostaafu, wanapofukuzwa Kazi, wanaposimamishwa Kazi ghafla wanakuwa masikini, ombaomba, na wagonjwa kwa asilimia Kubwa.
Cha ajabu ukienda Nigeria wale Magavana huwa ni matajiri balaa. Mfano mmoja niliona kajenga kanisa la mamillioni peke yake.
Tatizo hili ni mini
Wapewe semina ya ujasiliamali?
Kwanini wasiwekeze kwenye hati
fungani wawe wanalipwa kiulaini?
Wamezoea pesa za madili?
Mkuu hiyo 1.5 na msururu unaomzunguka na kumtarajia na kulinda hadhi itakuwa chache sana Mkuu.Mkuu, ninadhani ungesema kuwa wanakuwa katika hali tofauti ya kiuchumi kulinganisha na zamani unakuwa sahihi zaidi kuliko kusema masikini.
Mtu alikuwa mkurugenzi mfano katika taasisi ya umma, anakuja kustaafu kisha anakuwa anapokea mafao kila mwezi 1,500,000/= huyo utasemaje ni masikini?
Kwa sababu maccm yamezoea kuishi kwa kutegemea rushwa na hela za wananchi wanyongeNajaribu kujiuliza.
Viongozi wakubwa wanapostaafu, wanapofukuzwa Kazi, wanaposimamishwa Kazi ghafla wanakuwa masikini, ombaomba, na wagonjwa kwa asilimia Kubwa.
Cha ajabu ukienda Nigeria wale Magavana huwa ni matajiri balaa. Mfano mmoja niliona kajenga kanisa la mamillioni peke yake.
Tatizo hili ni mini
Wapewe semina ya ujasiliamali?
Kwanini wasiwekeze kwenye hati
fungani wawe wanalipwa kiulaini?
Wamezoea pesa za madili?
System, jinsi ilivyo inawafanya wawe hivyo, pili elimu yetu maliza degree ajiriwa mpaka miaka 60, unastaafu ukiwa mkweche, tatu watu kulidhika wakiwa kwenye viyoyozi maofisini, kiyoyozi kikikata basi na wewe chali, nne familia zetu ni tegemezi sana ukiwa unafanya kazi wanakuona wewe kama mwokozi kwa familia kila shida ya ukoo ni wewe tu kana kwmaba familia nzima wewe ndo mwenye kichwa cha fikra tu.muda mwingi kusomesha watoto wa ndugu jamaa majirani hivyo saving inakuwa hakuna, unastaafu huna kitu kabisa. Miashahara midogo sana kiduchu hivyo mtu anahishi hand to mouth. Ndugu zetu wengi baba zetu mama zetu wamesitaafu bila bila pesa hivyo upelekea kuwa na matatizo ya kiafya na kifo mlangoni.
Solutions.
1. Umapomaliza degree yako jitahidi ujiajili kwa udi na uvumba japo kunachangamoto sana ya kupata vibali, brela, TRA, leseni,. Pia changamoto ya kodi TRA sasa hivi wanaua biashara za watu Kodi kubwa Sana, assessment isiyokuwa na uhalisia wa biashara , watu account zao zinapigwa pin uko bank. TRA Sasa wanafanya hujuma juu ya serikali ukiona kwa jicho la tatu wanaporomosha uchumi kwa kufanya maamuzi yasiyo na tija in Long run, watu watakwepa kuweka pesa bank na bank zitakufa, baada ya azimio la Arusha wahindi wengi hawaweki pesa bank, akiweka baada ya saa utaona check nyingine inakuja kukomba hizo pesa. Na hii ya wakati huu inaweza kuathili mpaka wazawa weusi waone bank Kama siyo sehemu salama kwa pesa zao.
2. Jitahidi kusoma na kuelewa vitu ambavyo waweza jiajili bila shida.
3. Sasa hivi penalties za TRA,brela zimewafanya watu kufunga biashara zao. Kuna bwana mmoja alichelewa kupeleka annual assessment ya mwaka wakapiga penalt ya tshs 18,000,000. Ambako annual assessment alikuwa akilipa tshs 1,600,000. Kwa hiyo ni techniques wanazotumia majasusi wa uchumi wanaotaka kuporomosha uchumi wa nchi utumia hili ufunge biashara yako, wakipata mamilion wanaofunga wanakuwa wametimiza lengo lao.maana uchumi utakuwa chini.
Ukiona mtu haimbi kwaya tambua tu maslai yake yalifika ukomokwani wamefukuzwa?
Makonda,Kangi et al
Alafu hawasubiri kustaafu wanajistaafishaaLabda zamani. Sasa hivi hawafirisiki mkuu. Wanajilimbikizia mali sana.
Hapo kwenye kulinda hadhi upo sahihi mkuu. Atataka kuwa kama zamaniMkuu hiyo 1.5 na msururu unaomzunguka na kumtarajia na kulinda hadhi itakuwa chache sana Mkuu.
Kawaida mnyongaji,kuchinja kwake shida.Najaribu kujiuliza.