Kwanini vigogo wengi wa serikalini wakifukuzwa kazi huwa masikini ghafla

Police hasa trafiki ,wakistaafu huwa hachukui round. presure,kisukali sugu na mengine kama hayo.wanakufaga haraka sana
 
Kwa mujibu wa BOT hakuna aliyewahi kuweka akashindwa kulipa tangu iwepo.
 
Makonda ana mkwanja mrefu sana ,amewekeza kwenye phamacy akiwa ubia na Jamaa zake!! Pia Nadhani hela nyingi alizokusanya ameficha mahala!
Wa hivyo rahisi kudhurumiwa akanza kulialia
 
hiyo ya kusaidia ndugu ni uongo nakataa kabisa. Watu walio makazini ndio wanaongoza kwa Kutokusaidia ndugu, sema pesa zao wahonga wanawake hivyo pesa zote zinaishia kwa wanawake. Ndugu hawawezi kumaliza pesa anayoingiza kigogo mkuu, acha kudanganya watu. Mfano mtu anafanya kazi Bandarini uniambie ndugu zake wammalizie pesa anayoingiza bandarini sio kweli.

Zungumza vitu hivi
1. Pombe
2. Wanawake
 
Tatizo la sisi Watanzania, tukiwa mabosi tunapenda kuishi maisha ya hali ya juu sana. High profile. Unanunua gari la kutembelea Range Rover, nk, nk.
Unapostaafu, stahiki zako zote zinazima.
Tatizo sasa linakuja, unataka ku- maintain status usidharaulike. My friend, you're doomed!!
 
Ungeandika kwa mfano nanii na nanii ili kuweka uzito wa hoja yako.
sumaye.waryoba. Sarungi.nyerere huyu ndo kajifia kabisaa ajili ya pressure pmj na kujengewa nyumba kubwa bure na JwTz.
Aoron chiduo alijifia huyu.

Wapo wengi ni maskini isipokuwa pinda
 
TRA ni very useless and zero creativity authority.... Wao kufunga biashara ya mtu ni achievement.
 
Inategemea, mfano Mchechu hawezi kuwa omba omba
 
Hii habari imfikie mkurugenzi wa Igunga aliyetumbuliwa Jana na yule wa Geita aliyetumbuliwa majuzi.
Mzee Halima alishaiona hii habari hata kabla haijaandikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…