ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
mbona wewe upo?Mshukuru Mungu kwa uhai ulio naoMpaka wazee wanashangaa Mambo haya hayakuwepo wakati wa miaka ya nyuma.nini sababu tufanyaje ili tuishi kwingi na sisi tuone mengi?maana bongo kuna Mambo mengi Muda mchache mchache ukifa inauma Sana kukosa stori zinazoendelea.tunatamani tuishi angalau tuone haya maajabu yajayo yanafurahisha.mwezi huu TU wamekufa wayu ninaowajua zaidi ya kumi na vijana ndio wengi haswa.kuna Nini?
Mshahara wa dhambi ni mauti.Mpaka wazee wanashangaa Mambo haya hayakuwepo wakati wa miaka ya nyuma.nini sababu tufanyaje ili tuishi kwingi na sisi tuone mengi?maana bongo kuna Mambo mengi Muda mchache mchache ukifa inauma Sana kukosa stori zinazoendelea.tunatamani tuishi angalau tuone haya maajabu yajayo yanafurahisha.mwezi huu TU wamekufa wayu ninaowajua zaidi ya kumi na vijana ndio wengi haswa.kuna Nini?
Mmomonyoko wa maadili. Hakuna kukemea maadili mabovu. Amber lulu na wengine wanakuwa maarufu kwa kufanya ngono na kuzisambaza ktk mitandao.Mpaka wazee wanashangaa Mambo haya hayakuwepo wakati wa miaka ya nyuma.nini sababu tufanyaje ili tuishi kwingi na sisi tuone mengi?maana bongo kuna Mambo mengi Muda mchache mchache ukifa inauma Sana kukosa stori zinazoendelea.tunatamani tuishi angalau tuone haya maajabu yajayo yanafurahisha.mwezi huu TU wamekufa watu ninaowajua zaidi ya kumi na vijana ndio wengi haswa.kuna Nini?
Dah...Bosi..maswali mengine kabla ya kuyaibua yanataka utafiti....unawajua wazee wangapi?...vijana wangapi? na huko nyuma kulikuwa na takwimu gani za vifo? nk nk.nk...kujua kwako vijana 10 waotutoka mwezi huu bado haihitimishi kufa kwa vijana zaidi ya wazee [emoji41]Mpaka wazee wanashangaa Mambo haya hayakuwepo wakati wa miaka ya nyuma.nini sababu tufanyaje ili tuishi kwingi na sisi tuone mengi?maana bongo kuna Mambo mengi Muda mchache mchache ukifa inauma Sana kukosa stori zinazoendelea.tunatamani tuishi angalau tuone haya maajabu yajayo yanafurahisha.mwezi huu TU wamekufa watu ninaowajua zaidi ya kumi na vijana ndio wengi haswa.kuna Nini?
Science & technology (GLOBALIZATION)Mpaka wazee wanashangaa Mambo haya hayakuwepo wakati wa miaka ya nyuma.nini sababu tufanyaje ili tuishi kwingi na sisi tuone mengi?maana bongo kuna Mambo mengi Muda mchache mchache ukifa inauma Sana kukosa stori zinazoendelea.tunatamani tuishi angalau tuone haya maajabu yajayo yanafurahisha.mwezi huu TU wamekufa watu ninaowajua zaidi ya kumi na vijana ndio wengi haswa.kuna Nini?