ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mpaka wazee wanashangaa Mambo haya hayakuwepo wakati wa miaka ya nyuma.nini sababu tufanyaje ili tuishi kwingi na sisi tuone mengi?maana bongo kuna Mambo mengi Muda mchache mchache ukifa inauma Sana kukosa stori zinazoendelea.tunatamani tuishi angalau tuone haya maajabu yajayo yanafurahisha.mwezi huu TU wamekufa watu ninaowajua zaidi ya kumi na vijana ndio wengi haswa.kuna Nini?