Kwanini vijana wa Dar hukosa wasichana wakija mikoani

nina nchi sita

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
269
Reaction score
146
Unajua kwa nini vijana wa dar wanapo kuja mikoani huwa ni vigumu sana kupata wasicha.. Na vijana wa mikoani wakifika dar huopoa wadada wa pale kiuraiiiini....? Ipo hivi

Ni mala chache saana kwa vijana wazawa wa dar kuskia anampenzi pamanent. Wengi wao wanapokuwaga na genye utamkuta pale zakhem mbagala uwanja wa fisi na maeneo mengine meeengi yasiyo na idadi ambayo machangudoa hupatikana hapo haina kujiekeza ni kupiga mzigo fasta na kutoa malipo

Kwa hali hiyo vijana wengi wa dar hujikuta hawawezi kujieleza mbele ya mwanamke ambaye wanajua wazi hajiuzi
.hill huwapa taabu tabu saana vijana wa dar wanápofika katika mikoa ambayo biashara za ngono ni nadra saana wengie wao hujikuta wamekuwa waraibu wa nyeto

Maelezo hayo ni kinyume cha vijana wa mikoani ambao ndio wengi wao wana wamiliki wadada wa dar wasio jiuza

Ukweli usiwaume Bali uwape funzo
 
Mkuu watu wa Dar (ingawa siishi hapo) na miji mingine mikubwa wapo bize sana kupambana na ukali wa maisha, leo hii uanze kupiga domo na uongo mwingi unataka nini hasa, wao wanapiga kazi, wanazama viwanje, opoa kisu kikali, kamua vizuri, than sepaaaaa, unapiga domo kwani unaenda kuoa mkuu!!!
 
Aya buana ngoja waje wapo beach wanakula chocolate
 
Wanaume wa Dar kwanu hasa mme wafanyanini wanaume wa mikoani mpaka hamkauki midomoni mwao kama mate?
Kwani U wanaumme nikumiliki mwanamke au kumiliki Hela?
 
Hivi ni kweli jamani kuwa, wanaume wa Dar mgegedo mnaufwata Manzese, yaani wanawake wote tulioko Dar, jioni tunajipanga Manzese nina nchi sita, tembelea Dar kidogo uone watu wanavyoishi, nyinyi ndio wale Dar mnapita kama transit mkiwa mnakwenda nje kimasomo au kutibiwa.
 
Mkuu watu wa Dar (ingawa siishi hapo) na miji mingine mikubwa wapo bize sana kupambana na ukali wa maisha, leo hii uanze kupiga domo na uongo mwingi unataka nini hasa, wao wanapiga kazi, wanazama viwanje, opoa kisu kikali, kamua vizuri, than sepaaaaa, unapiga domo kwani unaenda kuoa mkuu!!!
IPO hivi mapenzi sio chapa ulale haya ni mageuzi tu ambayo yanafanyika. Mapenzi huanzia uchumba mpaka ndoa sio hayo ya biashara ya vijana wa dar
 
Mboyoyoy!! zako peleka huko kwenu pesa ndio kila kitu..kutongozana kumepitwa na wakati..

NB
Hata kama hauna pesa kifanye unazo ndio utajua mapenzi pesa mkuu
 
Hivi ni kweli jamani kuwa, wanaume wa Dar mgegedo mnaufwata Manzese, yaani wanawake wote tulioko Dar, jioni tunajipanga Manzese nina nchi sita, tembelea Dar kidogo uone watu wanavyoishi, nyinyi ndio wale Dar mnapita kama transit mkiwa mnakwenda nje kimasomo au kutibiwa.
Namaaanisha hapo dar kuna vijana wengi wa mikoani na ndio wanawakamatia wadada wa dar wasio jiuza. sizani kama anae kugegeda ni mzalamo
 
kweli we ni wa mkoani.naona una mix r na l kama kawaida. anyway flesh lakini
Kaka usipate shida na hawa wanaume wa mikoani ambao hata wakiulizwa maana ya elimu bure hawajui wanasema "elimu bure ni kumtandikia kitanda na kuongea ongea au elimu bure ni usichafue Maneno unayoelekezwa"
 
Mboyoyoy!! zako peleka huko kwenu pesa ndio kila kitu..kutongozana kumepitwa na wakati..

NB
Hata kama hauna pesa kifanye unazo ndio utajua mapenzi pesa mkuu
Mkaribisheni Dar aone maisha, bado anayasoma na kuyafikiria.
 
Namaaanisha hapo dar kuna vijana wengi wa mikoani na ndio wanawakamatia wadada wa dar wasio jiuza. sizani kama anae kugegeda ni mzalamo
Ninadhani wanaume wote, wanaofanya shughuli zao za kujipatia riziki mjini hapa na kulipa kodi ya jiji ni wanaume wa Dar, sasa wale Wazaramo waliokwenda Ziwa Tanganyika na wanajipatia riziki kule utawaita wanaume wa Dar?
 
Mboyoyoy!! zako peleka huko kwenu pesa ndio kila kitu..kutongozana kumepitwa na wakati..

NB
Hata kama hauna pesa kifanye unazo ndio utajua mapenzi pesa mkuu
Kijana wa dar at work
Kwani apo naandika au nasema kwaza muhim ushaelewa kwisha mambo mengine baadae
 
Mboyoyoy!! zako peleka huko kwenu pesa ndio kila kitu..kutongozana kumepitwa na wakati..

NB
Hata kama hauna pesa kifanye unazo ndio utajua mapenzi pesa mkuu
Unajidanganya mkuu hayo ni mapunduzi uliyo jifanyia miyoni huku mikoani tunagegedana bila kujari mpunga
 
Mkuu watu wa Dar (ingawa siishi hapo) na miji mingine mikubwa wapo bize sana kupambana na ukali wa maisha, leo hii uanze kupiga domo na uongo mwingi unataka nini hasa, wao wanapiga kazi, wanazama viwanje, opoa kisu kikali, kamua vizuri, than sepaaaaa, unapiga domo kwani unaenda kuoa mkuu!!![/QUOTE

Umemaliza kila kitu
 
Mkuu watu wa Dar (ingawa siishi hapo) na miji mingine mikubwa wapo bize sana kupambana na ukali wa maisha, leo hii uanze kupiga domo na uongo mwingi unataka nini hasa, wao wanapiga kazi, wanazama viwanje, opoa kisu kikali, kamua vizuri, than sepaaaaa, unapiga domo kwani unaenda kuoa mkuu!!!
Umemaliza kila kitu Mkuu
 
Back
Top Bottom