nina nchi sita
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 269
- 146
Unajua kwa nini vijana wa dar wanapo kuja mikoani huwa ni vigumu sana kupata wasicha.. Na vijana wa mikoani wakifika dar huopoa wadada wa pale kiuraiiiini....? Ipo hivi
Ni mala chache saana kwa vijana wazawa wa dar kuskia anampenzi pamanent. Wengi wao wanapokuwaga na genye utamkuta pale zakhem mbagala uwanja wa fisi na maeneo mengine meeengi yasiyo na idadi ambayo machangudoa hupatikana hapo haina kujiekeza ni kupiga mzigo fasta na kutoa malipo
Kwa hali hiyo vijana wengi wa dar hujikuta hawawezi kujieleza mbele ya mwanamke ambaye wanajua wazi hajiuzi
.hill huwapa taabu tabu saana vijana wa dar wanápofika katika mikoa ambayo biashara za ngono ni nadra saana wengie wao hujikuta wamekuwa waraibu wa nyeto
Maelezo hayo ni kinyume cha vijana wa mikoani ambao ndio wengi wao wana wamiliki wadada wa dar wasio jiuza
Ukweli usiwaume Bali uwape funzo