Kwanini vijana wa Dar hukosa wasichana wakija mikoani

We ndez kweli ww na utafiti wako !!
Mbna dada zenu huwa wanatutakaga wenyewe wakiona tu jamaa ni borntown... Na tunawaoa sana tu!!
 
Hii chuki hii ya wanaume wa mikoani dhidi ya WaDar naona inaxid kukua!!!
Inaonekana wanaume wa Dar mnawashughulikia sana dada zao wa mikoani wanaoshoboka kiasi cha wanaume zao kuleta bifu mpk kwenye threads km hv!!

Na tutawakazieni sana dada zenu wa mikoani hahaha
 
Dunia ya leo bado unapoteza muda kutongoza demu? Mwanamke kama anakutaka siku hizi havungi. Akikukataa endelea na maisha mengine. Halafu kumtaka demu kuna mengi. Kuna wa kupiga na kuna wa kuoa. Wa kuoa unaweza somesha muda kidogo. Wa kupiga unalipa unakula unasepa. Unaendelea na maisha mengine
 
nchi yetu inamatatizo mengi katika kipindi hichi, sio vizuri mtu mzima kuleta story za ujinga na upumbavu. nenda katafute pesa na maendeleo acha kuleta ujinga hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…