Kwanini vijana wa Dar hukosa wasichana wakija mikoani

Kwanini vijana wa Dar hukosa wasichana wakija mikoani

Tunawagongea sana mademu zao
hadi wanapiga kelele
Siamini,wanaume wa Dar wasijitambua ni wachache sana na wameweka akili yao kwenye kutafuta
wanawake hawaishi kukicha wanazaliwa ndio mana hawana haraka ya mahusiano yakudumu hawataki stress..
 
Wewe si yule jamaa mwenye govi? Acha ukibamia wako mkuu! Hivi hiyo nchi sita dem akikohoa si kinatoka?[/QUO
Mkuu mi nikikanyaga show demi haniachi usinifananishe na nyie mabishoo wa dar
 
A
Ninadhani wanaume wote, wanaofanya shughuli zao za kujipatia riziki mjini hapa na kulipa kodi ya jiji ni wanaume wa Dar, sasa wale Wazaramo waliokwenda Ziwa Tanganyika na wanajipatia riziki kule utawaita wanaume wa Dar?
Asili yao mkuu Tabia zao zimejengeka wakiwa dar
 
Hivi kweli mpara-miwa wa huko matombo anaweza akawa na ujanja wa kutongoza demu alafu mtoto aliyezaliwa mjini akashindwa? Haya mambo yaangalie katika taswira kubwa zaidi, vijana wetu tumewapeleka shule za-vizungu wana mahusiano tangu darasa la kwanza, wanatuomba hela za kuhang na mademu zao, kwenda kuogelea, kuwa-treat wanzao na kuwanunulia zawadi siku za valentine. Hivi hayo mambo yako kweli huko matombo?
 
Kaka usipate shida na hawa wanaume wa mikoani ambao hata wakiulizwa maana ya elimu bure hawajui wanasema "elimu bure ni kumtandikia kitanda na kuongea ongea au elimu bure ni usichafue Maneno unayoelekezwa"
Pole saana ngoja makonda atupige marufuku kuja hapo na aondoe vijana wa mikoani hapo tuone kama hamjatufuata na kukosa kwetu elim
 
M
Hivi kweli mpara-miwa wa huko matombo anaweza akawa na ujanja wa kutongoza demu alafu mtoto aliyezaliwa mjini akashindwa? Haya mambo yaangalie katika taswira kubwa zaidi, vijana wetu tumewapeleka shule za-vizungu wana mahusiano tangu darasa la kwanza, wanatuomba hela za kuhang na mademu zao, kwenda kuogelea, kuwa-treat wanzao na kuwanunulia zawadi siku za valentine. Hivi hayo mambo yako kweli huko matombo?
Huku michezo ya kibaba baba na mama ndo kwanza inanoga na ndo maana hakuna biashara. Huko kwenu binti ana miaka kumi anafundishwa michezo ya kanga moko apige pesa
 
wanaume wa dar mkoani tunawapata wanawake kwa urahisi,akijua tu natokea dar basi mdada anajileta mwenyewe na mzigo nakula halafu simrudii tena SIYE WA DAR NI KIBOKO TUNAWEZA DRAMAZ
 
Wanaume wa Dar hodari sana kwa biashara za chap chap...... msamiati unaoitwa kutongoza umewapitia kushoto mkuu wacha waisome namba wakiwa mikoani
 
Tukienda mkoani ni kupiga hela tu mambo yote ipo Dar.
 
wanaume wa dar mkoani tunawapata wanawake kwa urahisi,akijua tu natokea dar basi mdada anajileta mwenyewe na mzigo nakula halafu simrudii tena SIYE WA DAR NI KIBOKO TUNAWEZA DRAMAZ
Muanzie wapi na hiyo midomo yenu mizito mbele ya wanawake. Kumbuka huku hakuna anae jiuza ni mwendo wa kujieleza na kukubaliana sio saw a na pale uwanja wa fisi bila hata salam ushakunja mtu
 
Tukienda mkoani ni kupiga hela tu mambo yote ipo Dar.
Ni kweli kabisa mnabadilishana tu kwa masaa pale dar yaaani ukisafir ukirudi unakuta wazaramo wenzio kama 1000 washadandia na wewe unaunga trela afu mnajiita mnaakili kweli vijana wa dar majinias
 
Nani kakuambia huwa wanakosa au mpaka achukuliwe dada yako ndy utajua fikra zako ni potofu, na dar unaijua mbagala tu??
 
Back
Top Bottom