FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,100
- 1,363
Mtu kama ray hadi huruma yaan juzi tu kodi ya nyumba imemshinda.
Mama yake anauza Mboga Bado???????? Wtf[emoji849]Nilipaona kwao ray kwakweli panatia huruma halafu anasema mama yake karidhika kuuza mbogamboga eti hataki biashara nyingine yaani madogo wanatumikishwa wakija kufa ukifika makwao ndio unajua walikua wanaishi kwa kuigiza maisha miaka yote
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu, bila kujadiri watu utajadiri nini mbuzi. Chochote utakachojadiri kinahusiana na mwanadamu iwe biashara, uvumbuzi fursa na kila kitu.WANAUME MNAKAA NA KUPOTEZA MUDA KUJADILI ANGUKO NA MAFANIKIO YA WANAUME WENZENU. AIBU SANA.
HATA JAMES DELICIOUS ALIANZA HIVI HIVI, MWISHO WA SIKU ANAPAKULIWA NA KULIWA KISAMVU.
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu kama ray hadi huruma yaan juzi tu kodi ya nyumba imemshinda.
zile za mafungu za kupanga chini.
Nilipaona kwao ray kwakweli panatia huruma halafu anasema mama yake karidhika kuuza mbogamboga eti hataki biashara nyingine yaani madogo wanatumikishwa wakija kufa ukifika makwao ndio unajua walikua wanaishi kwa kuigiza maisha miaka yote
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama harmo watu walikua wanamshukia balaa kwao pa kawaida ,choo cha nje. Mtu anashangaa showoff nyingi pale wasafi halafu home pa kawaida,kumbe hata mavazi ukute wanakodisha tu.
Ray alitakiwa awe juu kama nyimbo zake badala ya kuwa kivuli cha dai kila kukicha. Hakuna mzazi anayekataa pesa bali anaogopa kumtwisha mwanae mzigo baada ya kufahamu hali halisi
Ila ray fundi aiseee...yule jamaa multtalented, akishindwa kupiga pesa kipindi hiki ndio basi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ni wasanii wachache Bongo wenye maisha wengi maigizo tu hawana lolote ni maskini wa kutupwa na ukiangalia ndio maana wanatumika tu na mtu yoyote
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hasara sana na hawajiongezi kabisa.
InshalahWatapata tu muda wao ukifika