Kwanini vijana wa PCM pekee ndio hupiga one za tatu Tanzania?

Kwanini vijana wa PCM pekee ndio hupiga one za tatu Tanzania?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Nimekuja na tokeo la vijana machachari kutokea KISIMIRI wakiendelea kunyosha misonge ya one kali.

Swali langu ni moja kwanini ni vijana wa PCM tu ambao hutoboa kupiga one za tatu tangu Tanzania kuumbwa.

IMG_20210711_181206.png
IMG_20210711_181139.png
mmexport1625998221428.png
 
hesabu hazidanganyi, kama umepata umepata na kama umekosa, umekosa

Sasa huko kwenye Sanaa kila mtu anajitetea, hata marking scheme nayo inajitetea
Thread closed, huko arts mtihani mmoja ila hamna direct answer inategemea ulivo tea hoja tofauti na pcm huko ni formula tu kupata kitu direct na unaweza pata 100 PCM ila sio arts
 
Ni mkakati wa kuwa motivate vijana wasome sayansi maana kuna vijana wao huwa wanatafuta I.3 tuu hivyo wakijua inapatikana HGL uenda huko na kupoteza wataalamu.Mawazo
 
Siku hizi GS inaA, B, C naD?
Tangu lini
Enzi zetu ilikuwa ni S na hata upate maswali yote unawekewa S na hiyo S ilikuwa haikuongezei chochote sana sana kupamba cheti na hata basic Applied Maths ( BAM), ilikuwa hivo hivo kupamba cheti; siku hizi kama wanazipa credit, sio bure Div one zinakuwa nyingi
 
Back
Top Bottom