Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Thread closed, huko arts mtihani mmoja ila hamna direct answer inategemea ulivo tea hoja tofauti na pcm huko ni formula tu kupata kitu direct na unaweza pata 100 PCM ila sio artshesabu hazidanganyi, kama umepata umepata na kama umekosa, umekosa
Sasa huko kwenye Sanaa kila mtu anajitetea, hata marking scheme nayo inajitetea
Kivipi tena mkuuNi mkakati wa kuwa motivate vijana wasome sayansi maana kuna vijana wao huwa wanatafuta I.3 tuu hivyo wakijua inapatikana HGL uenda huko na kupoteza wataalamu.Mawazo
Siku hizi GS inaA, B, C naD?
Tangu lini
kuna mwamba hapo kisimiri kagonga one nzuri ya tatu hklhesabu hazidanganyi, kama umepata umepata na kama umekosa, umekosa
Sasa huko kwenye Sanaa kila mtu anajitetea, hata marking scheme nayo inajitetea
Enzi zetu ilikuwa ni S na hata upate maswali yote unawekewa S na hiyo S ilikuwa haikuongezei chochote sana sana kupamba cheti na hata basic Applied Maths ( BAM), ilikuwa hivo hivo kupamba cheti; siku hizi kama wanazipa credit, sio bure Div one zinakuwa nyingiSiku hizi GS inaA, B, C naD?
Tangu lini