The Hacker 115
Member
- Jul 21, 2019
- 58
- 72
Unatoa ushauri gani hapo kiongozi?Chanzo chips mayai, visungura na ngono zembe,,
Maendeleo ya sayansi na technolojia yamechangiaje ongezeko hili?Ata zamani watu walikua wanaumwa na kufa, zamani walikua wanakufa na hatujui kichowaua, maendeleo ya science na technology ndiyo sasa tunajua wanachoumwa. Ni hivyo tu
Aina ipi ya maisha?
Umenena mkuuHayo ni magonjwa ya mtindo wa maisha.Inategemeana na unachokula na kunywa. Watu wengi wanaamini kuwa wanakula vyakula bora kumbe wanakula hovyohovyo.Kwa hiyo ulaji usiofuata kanuni na mpangilio matokeo yake ndiyo hayo.
Vyakula vingi vinavyoandaliwa kwa kutumia mafuta ya wanyama na hata ulaji wa nyama wenyewe (nyama nyekundu) ni hatari sana kwa matumizi ya baadaye kwenye mwili. Lakini pia asilimia kubwa sasa hivi tunakula na kunywa sana sumu kupitia vyakula vya viwandani.