Kwenye level ya vijana wanaojitafuta, Ni sababu ipi inayowafanya vijana wengi wanaofanya kazi za ujuzi kuweza ku maintain kuzidi vijana wenye maduka na huduma za fedha
Wenye ujuzi:
wajenzi
Wachomeleaji wa vyuma
Wapishi / wakaanga chips
mafundi rangi
mafundi tv / simu / ;aptop / radio
wasusi
n.k.
Kwa vijana kundi la pili kwa wastani huwa wana mitaji ya milioni 5 wanajumua bidhaa kariakoo wanaenda kuuza kwenye frem zao mitaani, wengine wana frem mitaani wanatoa huduma za fedha za simu na benki
Kundi hili wapo wanaotoboa na wanafika mbali lakini wengi utawakuta baada ya miaka kadhaa wamefunga biashara, wamefilisika, wamehamia sekta nyingine, n.k, hali zao kiuchumi zinakuwa zimeshuka