Kwanini vijana wanatuita "mshua?

Kwanini vijana wanatuita "mshua?

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Nahisi kama vile ni kutulipizia kisasi.

Maana wazee wetu tulikua tunawaita "Dingi" au " Bi Mkubwa".

Acha tupambane na hili la kuitwa "mshua".
 
Mshua ni ya miaka mingi sana. Mm nikiwa mdogo washkaji zangu walikuwa wananiambia mshua wako ni pai nn? Mbina anapiga mashati ya cuba.
 
Tulikuwaga tunamuita dingi mjerumani sio kwa utata ule 🤣
 
Back
Top Bottom