Mshua manake unafanya watoto wako wajione wa kishuaNahisi kama vile ni kutulipizia kisasi.
Maana wazee wetu tulikua tunawaita "Dingi" au " Bi Mkubwa".
Acha tupambane na hili la kuitwa "mshua".
Ndio ujue sasa wew wanakuita vipi🤣🤣😅Aisee sikujua kuwa huwa wana maanisha hivi.