Wakuu Habari yenu?
Hapa Nina Uzi Wenye swali moja tu lakizushi.Hivi kwanini vijana wengi WA kizazi Cha sasa(2000+) wanafake sana maisha ? .
Hasa kwenye social medias. zipi ni sababu kuu za hii tabia na je kufake maisha kunawapa faida gani?.Maana kwenye social medias Kila kijana anayejipost anajipost eti amefanikiwa katika umri mdogo🤣🤣🤣🤣 (sijakataa kwamba) wapo waliofanikiwa katika umri mdogo ndugu zangu🙏🙏