Kwanini vijana wengi waliokuwa wakitumikia sehemu za ibada huharibikiwa wakiwa watu wazima?

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Hivi hawa vijana waliokuwa wanasimamia sehemu za ibada huwa wanapotelea wapi, maana ndiyo huwa wanaongoza kuwa na tabia zisizofaa kwenye jamii.

Wengi wamekuwa wakitumbukia kwenye mkumbo wa tabia mbaya ikiwamo madawa ya kulevya na kuishia ulevi.

20231108_221031.jpg
 
View attachment 2817752
Wanaanzaga kunywa divai tangu utotoni...
 
Kwakua walikua wanafanya jambo ambalo halina uhalisia kwahiyo wakiwa wakubwa haswa umri wa balehe kunakua na maswali mengi ambayo hayana majibu

Kuhudu uwepo wa Huyo wanaye muabudu na uhalisia wa maisha hivyo majibu yanakua hakuna zaidi ya vitisho vya moto wa milele na kuwaona wenzao wana enjoy ambal hawajali chochote

Kwahiyo wao wanaingia kwa gia ya juu sanaa bila kua na uangalifu mwishoe wanakua waraibu [emoji23]
 
Naunga mkono hoja
 
Hivi hawa vijana waliokuwa wanasimamia sehemu za ibada huwa wanapotelea wapi, maana ndiyo huwa wanaongoza kuwa na tabia zisizofaa kwenye jamii.

Wengi wamekuwa wakitumbukia kwenye mkumbo wa tabia mbaya ikiwamo madawa ya kulevya na kuishia ulevi.

View attachment 2817752
Wavulana Watumikia misa wengi huharibiwa na mapadre
 
Hivi hawa vijana waliokuwa wanasimamia sehemu za ibada huwa wanapotelea wapi, maana ndiyo huwa wanaongoza kuwa na tabia zisizofaa kwenye jamii.

Wengi wamekuwa wakitumbukia kwenye mkumbo wa tabia mbaya ikiwamo madawa ya kulevya na kuishia ulevi.

View attachment 2817752
Shetani huwaharibu mapema kama sehemu ya mkakati wake wa kuliharibu Kanisa.
 
Hivi hawa vijana waliokuwa wanasimamia sehemu za ibada huwa wanapotelea wapi, maana ndiyo huwa wanaongoza kuwa na tabia zisizofaa kwenye jamii.

Wengi wamekuwa wakitumbukia kwenye mkumbo wa tabia mbaya ikiwamo madawa ya kulevya na kuishia ulevi.

View attachment 2817752
Labda wa parokia yako. Kwa parokia yangu kuna waliokuja kuwa mapadri, wafamasia, madaktari, maafisa raslimaliwatu, walimu, wafanyakazi wa serikali na taasisi za umma na binafsi, wafanyabiashara, nk. Na pia ni walei wazuri kwenye parokia zao mpya za utu uzimani huku.
 
Back
Top Bottom