Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Wanaanzaga kunywa divai tangu utotoni...Hivi hawa vijana waliokuwa wanasimamia sehemu za ibada huwa wanapotelea wapi, maana ndiyo huwa wanaongoza kuwa na tabia zisizofaa kwenye jamii.
Wengi wamekuwa wakitumbukia kwenye mkumbo wa tabia mbaya ikiwamo madawa ya kulevya na kuishia ulevi.
View attachment 2817752
Naunga mkono hojaKwakua walikua wanafanya jambo ambalo halina uhalisia kwahiyo wakiwa wakubwa haswa umri wa balehe kunakua na maswali mengi ambayo hayana majibu
Kuhudu uwepo wa Huyo wanaye muabudu na uhalisia wa maisha hivyo majibu yanakua hakuna zaidi ya vitisho vya moto wa milele na kuwaona wenzao wana enjoy ambal hawajali chochote
Kwahiyo wao wanaingia kwa gia ya juu sanaa bila kua na uangalifu mwishoe wanakua waraibu [emoji23]
Naunga mkono hoja ππWanaanzaga kunywa divai tangu utotoni...
Kwahiyo utotoni ni usnitch na sio devotion?π€Shetan huwa naamua kupambana na usnitch wao wakiwa utotoni
Wavulana Watumikia misa wengi huharibiwa na mapadreHivi hawa vijana waliokuwa wanasimamia sehemu za ibada huwa wanapotelea wapi, maana ndiyo huwa wanaongoza kuwa na tabia zisizofaa kwenye jamii.
Wengi wamekuwa wakitumbukia kwenye mkumbo wa tabia mbaya ikiwamo madawa ya kulevya na kuishia ulevi.
View attachment 2817752
Shetani huwaharibu mapema kama sehemu ya mkakati wake wa kuliharibu Kanisa.Hivi hawa vijana waliokuwa wanasimamia sehemu za ibada huwa wanapotelea wapi, maana ndiyo huwa wanaongoza kuwa na tabia zisizofaa kwenye jamii.
Wengi wamekuwa wakitumbukia kwenye mkumbo wa tabia mbaya ikiwamo madawa ya kulevya na kuishia ulevi.
View attachment 2817752
Labda wa parokia yako. Kwa parokia yangu kuna waliokuja kuwa mapadri, wafamasia, madaktari, maafisa raslimaliwatu, walimu, wafanyakazi wa serikali na taasisi za umma na binafsi, wafanyabiashara, nk. Na pia ni walei wazuri kwenye parokia zao mpya za utu uzimani huku.Hivi hawa vijana waliokuwa wanasimamia sehemu za ibada huwa wanapotelea wapi, maana ndiyo huwa wanaongoza kuwa na tabia zisizofaa kwenye jamii.
Wengi wamekuwa wakitumbukia kwenye mkumbo wa tabia mbaya ikiwamo madawa ya kulevya na kuishia ulevi.
View attachment 2817752