Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kijana anaeshindwa kuendesha biashara, swala ni kukata, kushindwa kujifunza na makosa na pia kukata tamaa.. Naamini hakuna mtu biashara inamshinda, utofauti unakuja kwny fikra tu.Kwanini vijana wengi wanashindwa kuendesha biashara zao pindi tu wanapoziansha?
Ni lipi tatizo?
kukosekana uzoefu na nidhamuKwanini vijana wengi wanashindwa kuendesha biashara zao pindi tu wanapoziansha?
Ni lipi tatizo?