Kwanini vijana wengi wanashindwa kuendesha biashara zao pindi tu wanapoziansha?

Kwanini vijana wengi wanashindwa kuendesha biashara zao pindi tu wanapoziansha?

Wengi hanzisha biashara kwa kukurupuka, amepata pesa nyingi kwa wakati fulani hakujiandaa hapo ndio anatafuta cha kufanya. Hii ndio chanzo kikubwa cha watu kufeli katika biashara mpya.

Mambo machache ninayoona ni ya kuzingatia ukitaka kuanziasha Biashara yako
1. Eneo la Biashara si kila biashara ni kwaajili ya watu wote
2. Kujiwekea malengo na kuyafanyia kazi
3. Penda kujifunza kutoka kwa wenzako wenye biashara kama hiyo au wenye ujuzi wa hyo biashara
4. Usiwe muoga wa kufeli na ujifunze kutokana na makosa
5. Upende kupokea maoni kutoka kwa wateja wako na uyatumie kuboresha kuduma
6. Jali muda wazungu wanasema (Time is Money)
 
kwasababu vijana wengi wapo kwenye kujaribu mambo mapya, hivyo nilazima kufeli ili kuwa wazoefu
 
Biashara nyingi zinakufa kwa sababu kuwa watu wengi hatuna uzoefu wala hatujui misingi ya biashara. Mara nyingi wazazi wetu ndio watu sahihi sisi kujifunza biashara lakini wazazi wengi pia hawafahamu biashara kama sisi. Hivyo watu wengi hukurupuka na kuangukia pua.
 
Back
Top Bottom