Kwanini viongozi hawakatwi kodi?

Kwanini viongozi hawakatwi kodi?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Nilidhani hawakatwi kodi kwenye mishahara kumbe mpaka kwenye huduma nyingine!
IMG_2078.jpeg
 
hii ni nchi ya kifalme. viongozi wapo above the law
sheria ni kwa wajinga ambao hawataki kujishughulisha kujua haki zao
ukihoji unashambuliwa kwa kuhatarisha amani ya nchi
nchi ya matutusa
 
Hii nchi watu hatujui vitu basic mpaka inaboa,

Kutuma pesa kwa simu hakuna makato ya serikali, kwa mtu yeyote
 
Mna uhakika ametuma, au mheshimiwa ameediti tu ujumbe wa Pesa ni Azam Pesa?

Mtakuja kufa bure kwa kihoro siku moja. Ohoooo!
 
Back
Top Bottom