Kwanini viongozi karibia wote wa mpira hawamtaki Michael Wambura?

Wambura aachane na TFF afanye mambo mengine. Maisha na ukubwa sio TFF tu. TFF wenyewe ni chaka la wakwapuaji wa pesa huku mpira wa TZ ukidorora kila siku, soon tutazidiwa rank hata na Somaria au Afghanstan.

Uongozi wenyewe umeshindwa hata kupata mdhamini wa ligi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba Wambura anajiamini na hao viongozi kina Karia hawamtaki maana anawaumbua,wamebaki kutumia vyeo vyao kumnyanyasa but ukweli utajulikana tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi FIFA haina mahakama zake? Maana sijui kama kunakuwa na haki ya kutoingiliwa kiutendaji halafu mashtaka uyapeleke huko
 
Hapo kwa kulazimisha chaguzi,
Siwapendi kabisa TFF hasa ya sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu bwana kosa lake kuu ni nini?

Maana Tenga, Karia na Malinzi wote walimfurusha huyu bwana shida yake nini hasa? the

Naomba ufafanuzi wadau wa mpira wa miguu hi to

Sent using Jamii Forums mobile app


Halafu hili zwazwa Wambura halijitambui. Si viongozi tu, hata wapenzi wa soka hawalitaki. Basi tu anavyong'ang'ania!!!;Sijui halina kazi nyingine zaidi ya mpira wa miguu!!!
 
Nasema mtoe Malinzi hapo ,maana yeye ndo aliyemrudisha Wambura kwenye soka

Kama ndio hivyo basi Wambura ana DNA zote za Malinzi naye yafaa aunganishwe na Malinzi au ashitakiwe na kufungwa kama Aden Rage alovyofungwa wakati ule
 
Hata ndolanga hakumtaka..... Wambura ana hoji sana mapato na matumizi ... Hakuna kiongizi aliyetoka madarakani Simba wala yanga na akaacha akaunti INA fedha.... Jamaa anahoji sana ....
Bongo wote wazi tu,Hata Wambula history yake siyo safi
 
Kama ndio hivyo basi Wambura ana DNA zote za Malinzi naye yafaa aunganishwe na Malinzi au ashitakiwe na kufungwa kama Aden Rage alovyofungwa wakati ule
Rage hajafungwa alikata rufaa mahakama ikamuona ni clean weka kumbukumbu sawa ,usilete mkurupuko
 
Huyu bwana nakumbuka hata alivyo gombea paele simba aliwekewa mizengwe sana mwisho wasiku wote waliomfanyia figisu wako segerea. Hata hapa kuna kitu kitatokea kwa wanao mfanyia figisu. Waswaili usema "mti wenye matunda ndio urushiwa mawe" muda utaongetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…