Kwanini viongozi wa huwa wanasisitiza amani bila Kutaja Neno HAKI

Kwanini viongozi wa huwa wanasisitiza amani bila Kutaja Neno HAKI

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Mara nyingi utasikia mara amani sio ya kuchezea, lakini huwezi kusikia wanasema neno haki. Je, amani wanayosema kulinda ni zile mali walizochuma? Je, wao ndio wana haki ya kulinda amani, sio watu wengine? Mara nyingi wanaosema amani ni wale walioshiba kwa kukwapua mali za umma, lakini hapo hapo wanasahau amani ya kweli ni ile inayotokana na haki. Bila haki hamna amani, hata kama itakuwepo ni kuzuga tu.

Mwalimu Nyerere alisema watu pekee wanaogopa mabadiliko ni wale walioshiba, wanaogopa kupoteza walivyo navyo. Mtu masikini hawezi kuogopa mabadiliko maana hana cha kupoteza. Tunapokuwa tunaubili amani tusisahau neno haki.

Familia zilizopoteza wapendwa wao kama familia ya Mzee Kibao, Mdude, Soka, Mwangosi, Been Saa Nane, Polepole na wengine wengi, sidhani kama neno amani linawaingia akilini. Ushauri wangu, mtu kama ametenda kosa ni bora sheria ifuate mkondo wake.

Vitendo vya serikali kujichukulia sheria mkononi likiendelea, my friend, msije kushangaa wananchi watakapoanza kujichukulia sheria mkononi. Tendeni haki, halafu kuna watu wanaodhani wao ndio wameshikilia amani kwa kutumia vyombo vya dola. Huo ni kujidanganya. Amani ya nchi imeshikiliwa na wananchi kwa 90%. Tendeni haki, amani itakuja yenyewe.
 
Haki ni Tunda la Mungu Pekee kwa binaadamu ni kichaka cha all evil
haliwezi kupendwa neno hilo-Muamin Muumba wako Itatosha
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Kwa sababu haki hupatikana baada ya kukinukisha🐼
 
Back
Top Bottom