Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Huwa nashindwa kuelewa kwanini viongozi wetu hupenda kuwapa nafasi watu wa hovyo mfano Pierre liquid. Na wengineo Ina maana Watanzania wengi uwezo wao wa kufikiri ni kama wa Pierre liquid ndio maana Pierre liquid alipelekwa bungeni kipindi kile kama sample.