Kwanini viongozi wa juu wa serikali hupenda kuwapa nafasi watu wa ovyo

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Huwa nashindwa kuelewa kwanini viongozi wetu hupenda kuwapa nafasi watu wa hovyo mfano Pierre liquid. Na wengineo Ina maana Watanzania wengi uwezo wao wa kufikiri ni kama wa Pierre liquid ndio maana Pierre liquid alipelekwa bungeni kipindi kile kama sample.
 
Shilole Na wengineo wanakuwa maarufu kuliko hata T.O Elias kihombo
 
Kwenye society ambapo majority (90% and above) ni watu wa HOVYO, WAJINGA, LUMPEN PROLETARIATS and the like, lazima to associate yourself with these people kwa vile wana ushawishi mkubwa kwa WAJINGA/MALOFA WENZAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…