Kwanini Viongozi Wa Majirani Zetu Wanawaabudu Wazungu Hivi?

Huyu rais wa Tanzania amewashika kenya pachungu sana, sijaona wakenya kupaparika kwa rais wa Tanzania tokea enzi za Nyerere. Kenyatta anasema tu kwenye media, siku mashoga wa kenya wakiamua kujiachia wazi wazi ndio tutajua kama ana ubavu au la.

Kwa kweli nilikuwa baadhi ya watu amabao walikuwa wakimshabikia Magufuli ingawa MK254 alinionya katika mijadala kuhusu watu wa kukurupuka kama mzee Pumba. Lakini baada ya muda kidogo, niligundua kuwa huyu ni kichaa (na mwenyewe alikiri.) Hivi majuzi ameenda kanisani kuitisha msaada eti hajui kina mkapa walimalizaje miaka yao kumi. Kwa kweli, nawaonea huruma waTZ.

Kuhusu hawa watu wa Kufirana, ni kwanini mmeanza kuwapa "Haki Zao" baada ya mzungu kuongea? Mbona hamukumwambia Makonda papo hapo aliposema atwashika? Vibaraka vy CCM ni laana kwa taifa lote la TZ
 
Acha kueneza propaganda. Vikosi vya BATUK, ambavyo uwezo wao ni wa mafunzo na mazoezi pekee yake vipo kwenye ardhi ya Kenya Airforce kwenye mji wa kijeshi tangu jadi, Nanyuki.

Huyu jamaa anajaribu kuderail topic kama pumba wenzake wanaolipwa na serikali ya John Pumba hufanya. Mada ni Serikali ya CCM imewainamia wazungu na kukubali mashoga, kinyume na nia ya waTZ wengi. Hivi hata wakifira.na hadharani yule kichaa hawezi kufanya lolote.
 
Juzi juzi wamejua wakijipiga vifua humu ati ooh, Mtanzania ni maskini jeuri, ooh hatumwogopi mzungu tangu enzi za Nyerere alafu mzungu akikohoa kidogo wote wanajificha mvunguni mwa kitanda.

Tanzania wananikumbusha enzi za Shule ya msingi tulipiga kelele darasani na kucheza kama Mwalimu hayupo alafu tukimsikia akija sote tunakimbilia madawati na kunyamaza zii tukijifanya eti tunasoma.
 
Umenikumbusha mbali....hehehe, ipo siku tulikua tukimuona mwalimu anakuja lakini unakuta uko mbali na dawati lako, unaamua kukaa pa mwenzako, unachukua kitabu chake na kuanza kusoma, na mwengine anaketi pako, darasa lote wachache tu ndio wapo kwenye madawati yako.
Tatizo itokee ni mwalimu wenu wa darasa na anafahamu kila mmoja anapofaa kuwa.
 
kenya.mnaweweseka sanaa na Tz....
sisi hatuwahusudu wazungu na sisi ni donor country
 
Japo kuna waziri wao wa fedha anaitwa Dr. Mpango amegoma kuimba mapambio ya kila siku, amesoma hotuba iliyowaanika balaa. Huyo sijui yapi yatamkuta.
 
hivi hata majirani zenu somalia na sudani huwa mnawafatilia internal affairs zao hivihivi au ni TZ tu ndio inawasumbua kichwa
 
Li inchi la kunya limeuzwa lote walahi
Haya makunya yaliopo humu ni waendesha mikokoteni kwao, pathetic dna walahi
 
hivi hata majirani zenu somalia na sudani huwa mnawafatilia internal affairs zao hivihivi au ni TZ tu ndio inawasumbua kichwa
Uwivu umewauwa hii mitapeli na micon artists walahi
Uwongo tu kila kitu, Mpesa imewapiga la uso, Milima Kilimanjaro n.k, walahi
Nami nawatemea kohozi la uso ptuuuuuuuu walahi
 
Ni kwa kuwa kina geza Ulale hawachoki kutuletea hapa habari zenu huku kwenye Kenyan News. Ukishikwa, shikamana. Ila kuna swali hapa hujajibu: Mbona serikali ya CCM imeamua kumwabudu mzungu na kubali kufiran.a kisha tu mzungu amesema? Usigeuze mada, Naomba
 
Uwivu umewauwa hii mitapeli na micon artists walahi
Uwongo tu kila kitu, Mpesa imewapiga la uso, Milima Kilimanjaro n.k, walahi
Nami nawatemea kohozi la uso ptuuuuuuuu walahi

Kwanini unageuza mada? Sisiemu bana. Ahh. Eti chama cha kuikomboa Afrika na wenyewe watumwa. Yaani vijisenti vya mzungu vyamfanya muwe watumwa? Hadi kufunga macho mnapowaona mashoga? Kweli umaskini ni sumu.
 
Japo kuna waziri wao wa fedha anaitwa Dr. Mpango amegoma kuimba mapambio ya kila siku, amesoma hotuba iliyowaanika balaa. Huyo sijui yapi yatamkuta.

Huyo anbahati sana. Kichaa ashachoka na hana nguvu za kumfuta mtu. Ingekuwa ni huko mwanzoni, huyo angefutwa na watanzania wangefanya foleni kumshukuruu baba wa taifa. Nguvu za soda ni balaa
 
maskini lazima ashikishwe ukuta maana hamna namna .... Hahaha hiyo kali
 
Wewe na MK uh?
Unashidwa kuelewa utendaji wa serikali hasa wa Tanzania, serikali kuu inaongozwa na baraza la mawaziri. Serikali za mitaa inaogozwa na baraza la mkoa. Kote huko kuna vikao vinakubaliana nini kifanyike. Makonda anauwezo wa kuamua mambo ya mkoa lakini sio ya nchi. Mind you, uamuzi wa kukamata mashoga ulikuja baada ya vijana fulani kujiachia wazi wazi kitu ambacho wanavunja sheria. Mtu yoyote akijiachia wazi wazi lazima sheria itakukuta tu, lakini kilichotokea ni watu kuvumisha eti serikali kuu inawatisha mashoga na kuwakimbiza huku na kule, hiyo sio ya kweli na hayaihusu serikali kuu, tena tukichungiza sana tunajuwa imeazishwa wapi.

Sio mara ya kwanza serikali kusimamisha operesheni. Miaka ya kikwete operesheni TOKOMEZA ilisimamishwa baada ya watu kuumizwa na wengine kupotea maisha.
 
Japo kuna waziri wao wa fedha anaitwa Dr. Mpango amegoma kuimba mapambio ya kila siku, amesoma hotuba iliyowaanika balaa. Huyo sijui yapi yatamkuta.
Sisi sio taifa la kuchukiana, mtangoja sana.
 
Kubis
Kubishana na mbuzi ni shida sana unajua mtu anatembea barabarani na.majani yamepangwa njian hayalatazwi kuuzwa utamfananisha na sie tunaokatazwa kulinda akili za wanetu.... ukiwakuta majirani wako huru kabisa kula majani yaleee bila kughasiwa khaaa.... naipenda Tanzania kwani tunaishi kwa kulea vizazi vyetu visiharibike..😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…