Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waganga njaa tu hawa majirani, hakuna kitu wanahofia kama Tanzania ya leo.Kubis
Kubishana na mbuzi ni shida sana unajua mtu anatembea barabarani na.majani yamepangwa njian hayalatazwi kuuzwa utamfananisha na sie tunaokatazwa kulinda akili za wanetu.... ukiwakuta majirani wako huru kabisa kula majani yaleee bila kughasiwa khaaa.... naipenda Tanzania kwani tunaishi kwa kulea vizazi vyetu visiharibike..[emoji16]
Waganga njaa tu hawa majirani, hakuna kitu wanahofia kama Tanzania ya leo.