Kubis
Kubishana na mbuzi ni shida sana unajua mtu anatembea barabarani na.majani yamepangwa njian hayalatazwi kuuzwa utamfananisha na sie tunaokatazwa kulinda akili za wanetu.... ukiwakuta majirani wako huru kabisa kula majani yaleee bila kughasiwa khaaa.... naipenda Tanzania kwani tunaishi kwa kulea vizazi vyetu visiharibike..[emoji16]