Zakayomfupi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 1,040
- 1,002
Hili la Mama limenishangaza sana, sikutegemea hata kama amefanya usuluhishi angejitokeza hadharani vile, watu wamemshauri vibaya sana, tunaweza kufungiwa na FIFA hivi hiviMbona walishawajulisha mashabiki kuwa hawatacheza Michezo wowote iwapo huu wa tar 15 ukiahirishwa.
Wewe unataka watoe tangazo mara mbili?
Simba wana akili kubwa. Huwa wanatoa tangazo Moja tu Kisha wanakaa kimya.
Mama Samia ambae ni shabiki wa Yanga, kaingiliq masuala ya Michezo kinyume na Fifa. Tena kajichanganya kupiga picha na viongozi na kuruhusu matakwa ya Yanga yatekelezwe.
HATUCHEZI,
Semeni yote ila tabia ya kumsema Mwananchi mwenzetu mangungu kuwa hafai hatutaki, sie wenyewe tunamkubali ngunguz wetu.
Acha ubaguzi wa kimo mkuu. Nimesema kweli tupu. Hii ni dharau kubwa sana.Watu wafupi mna lawama sana
Poleni Sana mkuuAcha ubaguzi wa kimo mkuu. Nimesema kweli tupu. Hii ni dharau kubwa sana.
Alipoingilia suala la Fei Toto si mlishangilia?Mbona walishawajulisha mashabiki kuwa hawatacheza Michezo wowote iwapo huu wa tar 15 ukiahirishwa.
Wewe unataka watoe tangazo mara mbili?
Simba wana akili kubwa. Huwa wanatoa tangazo Moja tu Kisha wanakaa kimya.
Mama Samia ambae ni shabiki wa Yanga, kaingiliq masuala ya Michezo kinyume na Fifa. Tena kajichanganya kupiga picha na viongozi na kuruhusu matakwa ya Yanga yatekelezwe.
HATUCHEZI,
Hamia yanga usiutese moyo.Kiukweli viongozi wa Simba wanatuona mashabiki wao ni wajinga na hawatujali kabisa.
Achana na matukio ya kutupiga viingilio takribani mechi tatu. Ila hili la mechi ya dabi ndio limedhihirisha kuwa wanatudharau sana mashabiki wao.
Juzi walituambia kuwa mechi ya dabi ipo 15 juni na hivyo tujiandae. Wengine tumetoka mikoani kwa ajili ya kuiunga mkono timu yetu.
Lakini licha ya jana bodi ya ligi kupembeleka mchezo 25 juni hakuna mrejesho wowote kwa mashabiki ambao tulihakikishiwa kuwa mechi ni tarehe 15.
Mbona wenzetu uto wanawajali sana mashabiki wao kwa kuwaambia msimamo wa klabu mapema?
Sipendi viongozi wetu wanatudharau namna hii. Natafakari kuhamia uto.