Kwanini Viongozi wa Simba SC Wanatudharau mashabiki na wanachama wao kiasi hiki?

Sasa Raisi wa nchi ashaingilia kati unafikiri hata kama ingekuwa wewe ndio kiongozi wa Simba ungeweza kukataa? Atakayebisha hajawahi kuongoza taasisi yoyote
 
poleni kwakweli
 
Matimu yote mawili ni yakitapeli. Ni ya kuyashabikia kiasi ,yakiomba mchango wowote usichange, wala kununua jezi usinunue ,hata viwanjani uende labda ukiwa karibu na huo uwanja. Yaani usije kujitesa sababu ya hayo matimu.
 
Nyie ni mambumbumbu,,,,, siku ya uchaguzi mliletewa manzoki, mkamchagua mangungu ! Ishu ndogo kama hii Simba wanashindwa kuwahadaa tena ? Walishajua mashabiki wake ni mazwazwa
 
Mtupe mrejesho jamani vipi Uwanjani mulienda leo? 🤣🤣
 
Hili la Mama limenishangaza sana, sikutegemea hata kama amefanya usuluhishi angejitokeza hadharani vile, watu wamemshauri vibaya sana, tunaweza kufungiwa na FIFA hivi hivi
Kwani viongozi wa serikali hawaruhusiwi kuongea na wanasiasa?!
 
Ndiyo ubaya ubwela wenyewe huo wanao wafanyia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…