Kwanini viongozi wa Simba wako hivi

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Hivi hawa mikia fc huwa wanawatoa Wapi viongozi wao?

Jana nilikua nacheki star TV habari za michezo,katibu wao somebody Ally Ally alienda pale makao makuu ya klabu kubwa zaidi hapa east Africa ,azam fc kukamilisha deal ya kiemba,ajabu baada ya kutoka pale ofisini akagoma kuongea na media huku akitaka kuvunja camera.

Kulikua na sababu gani ya vile wakati ishu ya transfer ni ya kawaida tu!!,alivyopanick as if anahojiwa kuhusu escrow.

Hata ukiangalia baadhi ya viongozi wa mikia ni watu wa ajabu ajabu tu!!

Rage_Aliwekwa jela kwa kuescrow pale FAT
.
Hasanol_ana kesi ya meno ya tembo
Somebody massanja yupo jela huko China kwa drugs
Hanspope_uhaini
.na mengine mengi?

Hivi ni umbumbumbu wa mashabiki wa mikia fc ndo husababisha kuwa na viongozi wa ajabu ajabu?


sembo mkolaj Amavubi Crashwise,
yahoo wakimataifa Makoye Matale Mphamvu Skype VOICE OF MTWARA
revocatus Kashanga
Balantanda Nakapanya et al
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya Simba yanakuhusu Nini wewe mtumwa uliozoea kumpigia muhindi magoti kila akitishia kuachia ngazi?
 
ndugu yangu we tuache tu sisi tunachagua bora viongozi ila hans popo sio huu mhaini ila ndugu yake aliyekuwa jeshini
 
Mambo ya Simba yanakuhusu Nini wewe mtumwa uliozoea kumpigia muhindi magoti kila akitishia kuachia ngazi?

Muhindi yupi?

Unadhani Mimi naongozwa na Akilimali?
 
Kwanini huyo mwandishi hakumtafuta msemaji wa klabu? Katibu alikua sawa kabisa, hakutaka kuingilia madaraka ya mwingine.
 
Hata mimi naona viongozi wa Yanga ni wapuuzipuuzi tu, maana hata jana nimeliona limoja lenye Meno nje kama Ngiri kwenye Luninga likishangaa Simba kwenda South Afrika kwa ajili ya Sare na Yanga.

Mbona halikushangaa mwaka jana pamoja na kwenda Uturuki wiki kadhaa kuweka kambi, pamoja na kumchukua Okwi ili kuimaliza Simba SC walishikishwa ukuta kwa mabao 3 kwa moja!!!1.
 
Mambo ya Simba yanakuhusu Nini wewe mtumwa uliozoea kumpigia muhindi magoti kila akitishia kuachia ngazi?
Wako bize kuijadili Simba SC usajili wamemwachia Maximo awaletee mashemeji zake wa kucheza dakika 25 uwanjani bila kugusa mpira....Hahahahaaaaaaa
 
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kusimamishwa na waandishi wa habari vihiyo kama Kivuyo. Wanasahau kazi waliyosomea wanajiingiza kwenye unazi wa vitimu vya hovyo hovyo...
 
Deo Corleone

Manj a.k.a "Fisadi Papa" vipi ataturudishia lini pesa zetu ya EPA? Au na yeye kinuke kama ESCROW?

Mosha ile michezo yake ya sisi tunapoingia kulala, ye ndo anaingia kazini kashaacha? Namuona siku hizi anabadlsha magari tu, inaonekana kazi inaenda vizuri.

Vipi kuhusu ile kesi ya "Mtoto Wa Mshua" kukamatwa na madawa ya kulevya China, inaendeleaje? Na vipi kashaacha hiyo biashara?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu povu linakutoka bila evidence
 
Last edited by a moderator:
Unataka evidence gani?

Km rage kuescrow pale fat,marco masanja kufungwa miaka 200 kule china sbb ya sembe,pope kufungwa na nyerere,hassanol kunyea debe segerea,hivyo vitu jamii yote inajua,ss tuwekee ushahidi lini mosha alifanya kazi uliyotuambia,usipotuambia hapa bas ww mbumbumbu kweli km rage alivyotujulisha kuwa mikia wote ni mbu3
 

Suala la kusema ni lini itakua ngumu, ila kaa ukijua mwenyekiti wenu alikua mpigaji tena mzuri. Utaki unaacha. Kwa taarifa zaidi karibu Chalinze.
 

Mimi azam hayo ya yebo yebo hayanihusu!!
 
Last edited by a moderator:
Jamani...mbwembwe zote hizi hazina faida...kila kitu kinajulikana pale kwenye pitch
 
mtuache tulale jamani tumepigika sana raundi ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…