Kwanini viongozi wa Simba wako hivi

Kwanini viongozi wa Simba wako hivi

kumpoteza mchezaji kama yule lazima mpagawe,na waandishi wa kibongo walivyowambea jamaa akaona wasimtaniee...mbona hata Yanga viongozi wao wa hovyo tu......Mangi wao wa kiarab si anatuhuma za uhujumu na kuuza unga.....Gulamali jee?
 
Endeleeni tu tuone nani zaidi, kati ya mikia na wananchi.
 
@ Deo Corleone viongozi wa Simba ni watu makini sana.. Viongozi wa Ndala na Azam ndo wapuuzi puuzi.
 
Mkuu povu linakutoka bila evidence

Yenu yanawashinda kama mke wa balozi nyumba kumi kumi kazi kuijadili Simba. Simba hawana muda huo mbovu wao wana kazi ya kugawa maumivu jangwani kila tukikutana. Mwanaume kama Simba kujadiliwa na wanawake ni kawaida endeleeni tukutane dimbani mzimie tena kama kawaida yenu.
 
Km rage kuescrow pale fat,marco masanja kufungwa miaka 200 kule china sbb ya sembe,pope kufungwa na nyerere,hassanol kunyea debe segerea,hivyo vitu jamii yote inajua,ss tuwekee ushahidi lini mosha alifanya kazi uliyotuambia,usipotuambia hapa bas ww mbumbumbu kweli km rage alivyotujulisha kuwa mikia wote ni mbu3

Hassan Hassanol alikamatwa akiwa kiongozi wa Simba au kama mwananchi wa kawaida tu? Acha unazi wa kipuuzi.
 
Back
Top Bottom