johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Tamaa, na pia katiba ina loophole, haizuii kugombea tena hata kama alishahudumu kwenye hizo siasaNi ama hawajui Falsafa nzima ya Utumishi wa Umma au ni kitu gani lakini?!
Mtu anafika top rank ya kitaifa anastaafu halafu anarudi tena kwa madai ya kuingia siasani
Vijana wetu watafanya kazi gani sasa kama mtu anakula pension na Mshahara kwa wakati mmoja
Ahsanteni sana π
Nawatakia Dominica njema πΉπΏ
Watu wanapotaka reforms ndio pamoja nakuondoa huu ujingaNi ama hawajui Falsafa nzima ya Utumishi wa Umma au ni kitu gani lakini?!
Mtu anafika top rank ya kitaifa anastaafu halafu anarudi tena kwa madai ya kuingia siasani
Vijana wetu watafanya kazi gani sasa kama mtu anakula pension na Mshahara kwa wakati mmoja
Ahsanteni sana π
Nawatakia Dominica njema πΉπΏ
Wakati huo huo unapinga REFORMSNi ama hawajui Falsafa nzima ya Utumishi wa Umma au ni kitu gani lakini?!
Mtu anafika top rank ya kitaifa anastaafu halafu anarudi tena kwa madai ya kuingia siasani
Vijana wetu watafanya kazi gani sasa kama mtu anakula pension na Mshahara kwa wakati mmoja
Ahsanteni sana π
Nawatakia Dominica njema πΉπΏ
Kumbe πΌWatu wanapotaka reforms ndio pamoja nakuondoa huu ujinga
No reform No Election
Reforms ndio nini bwashee? πWakati huo huo unapinga REFORMS
Dah,Vijana wetu watafanya kazi gani sasa kama mtu anakula pension na Mshahara kwa wakati mmoja
Katiba ya chadema pia haina ukomo wa kustaafu, mbowe alisema wenzake walifika 68 na yeye akataka aendelee hadi 68! Lissu mtu mbaya sana akazima ndoto za mwamba.Ni ama hawajui Falsafa nzima ya Utumishi wa Umma au ni kitu gani lakini?!
Mtu anafika top rank ya kitaifa anastaafu halafu anarudi tena kwa madai ya kuingia siasani
Vijana wetu watafanya kazi gani sasa kama mtu anakula pension na Mshahara kwa wakati mmoja
Ahsanteni sana π
Nawatakia Dominica njema πΉπΏ
Katiba zote za vyama hazina ukomo wa kustaafu Siasa hilo maponjoro wote na Magwajima wanalijua πππΉπΏKatiba ya chadema pia haina ukomo wa kustaafu, mbowe alisema wenzake walifika 68 na yeye akataka aendelee hadi 68! Lissu mtu mbaya sana akazima ndoto za mwamba.