21 September 2026
Makao Makuu UN
New York
UNGA 81: Masuala muhimu ambayo ujumbe wa kiongozi wa Tanzania na viongozi wa dunia watashughulikia katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa 2026
Umakini wa dunia utaelekezwa New York wiki hii huku marais, mawaziri wakuu, wanadiplomasia na maafisa...
Umewahi kujiuliza kwanini miradi mingi mtaani kwetukama barabara, ujenzi wa madarasa, au usambazaji wa umeme na maji inachelewa sana, alafu kiongozi aliyefeli anahamishwa tu kituo cha kazi badala ya kuwajibishwa? Kule jirani zetu Rwanda kuna mfumo wa kijasusi wa utendaji kazi unaitwa Imihigo...
Wanabodi
Hili ni bandiko la swali, japo Mungu ni mmoja, na Tanzania tuna manabii wetu na Kenya wana nanabii wao, iweje Mungu anaongea sana na manabii wa jirani zetu Kenya na kuwapa unabii kuhusu Tanzania, kuliko na manabii wa Tanzania?. Wana Nini na Viongozi wa Tanzania?!, Kitendo cha Nabii wa...
Viongozi ni mali ya umma. Kama wanapenda kuonekana videoni, ni kwanini iwe nongwa kusema chochote kumuhusu, baada ya wewe kumuona kideoni?
Kiongozi ukishaonekana kwenye video ni sawa na msanii katoa wimbo mpya, lazima tutataka kukosoa au kupongeza namna utavyocheza ukiwa unaonekana kwenye...
GEVEVA:
UN Human Rights Chief Volker Turk will hold a press conference on 10 December, at 10:30am CET, addressing human rights challenges around the world.
Mtakumbuka 11 November 2025 Turk alisema,
Tanzania Election-related killings and other violations must be investigated - Volker Türk...
Kumezuka mtindo wa viongozi wa TANZANIA kukana biashara zao hadharani na kujifanya hawana biashara ati wanategemea mshahara wa serikali
Mtu hawezi kuishi Kwa mshahara tu hata ungekuwa kiasi Gani
Sio dhambi kiongozi hata Rais kuwa na biashara zake halali na zikatambulika na kulipa kodi TRA...
Kama nchi za nje wameweza kuzuia misaada kwa serikali tu bila mashirika kuguswa basi nchi hizo zitusaidie kuwabana viongozi kulipa mikopo wanayokopa kwao na kuishia mifukoni mwa viongozi.
Hii inaweza kufanyika kwa kuutaifisha na kuuza mali zao au kwa kukamata akaunti zao
Wakuu
Hii nchi sasa inaongozwa na viongozi wasio na aibu wala hofu ya Mungu.
kama wanazo akili basi wanalazimika kuziacha nyumbani ili wamfurahishe mkuu wao.
Kwanza nimemsikiliza Gerson yan ni utumbo mtupu kaongea yani unawapongeza waandishi wa habari kwa kuandika habar za kusifia tuu nchi yao...
Tabia ya viongozi wa nchi hii kujiona wao ndiyo bora na ndiyo wanastahili kuishi maisha bora kuliko watu wao iko siku itawagharimu.
Wanaishi maisha kifahari,wanaiba ,wanajisikia,waongo,ujanjaujanja,nk kwa sasa wanakoelekra ni kubaya kwani watu wanaelekea kichoka.
Raia wa kawaida wanamaisha...
Ni ama hawajui Falsafa nzima ya Utumishi wa Umma au ni kitu gani lakini?!
Mtu anafika top rank ya kitaifa anastaafu halafu anarudi tena kwa madai ya kuingia siasani
Vijana wetu watafanya kazi gani sasa kama mtu anakula pension na Mshahara kwa wakati mmoja
Ahsanteni sana 😁
Nawatakia...
Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini.
Kama ambavyo...
binadamu
elections
haki
haki za binadamu
iendane
kampeni
mataifa
no reform
no reform no elections
tanzania
ukiukwaji
ukiukwaji wa haki
vikwazo
viongoziviongoziwatanzaniawapinzani
Trump anawakilisha hisia za wamarekani wengi. Hakuna atakaemuua Trump as many believe.
Trump strategy ni kila nchi isimamie resources zake na kuzibadilisha kuwa fedha. Kuacha ujinga na focus na nchi yako.
Kwa nyie ambao mnauza bandari huku hakuna kilichobadilika kwenye operation za bandari...
Hii ndiyo tabia ya viongozi wetu kupenda kusafiri, kuiona dunia. Yaani hata wanatafutiwa Ndege kwa ajili ya safari tu! Hiyo ni kazi ya maendeleo ya Taifa?
Wakati MV Bukoba inazama mwaka 1996, waziri mkuu wa Taznzania Ndg. Sumaye alikuwa ziarani Kusini mwa Afrika. Ikatangazwa ni janga la...
Baada ya kuwasikiliza wakazi na viongozi hawa wa tarafa ya Ngorongoro, nimegundua yafuatayo:
1. Kuna agenda mbaya ya siri dhidi ya Wamasai hawa wa Ngorongoro inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Wanaiuza ardhi ya Ngorongoro kwa waarabu?
2. Kumbe wakazi wa...
Salaam Wakuu,
Ni aibu kubwa mbele ya Dunia kuna Misafara ya Viongozi wa Tanzania inavyokuwa Mikubwa. Magari Zaidi ya 300 yanamfuata Mtu Mmoja tu.
Magari ya Ulinzi sina tatizo nalo, ila magari ya Watu eti Waziri, Katibu, Mkurugenzi Mkuu wa Mkoa na Wilaya, IGP, nk wote kila mtu anaenda na gari...
Maandamano yanayoendelea nchini Kenya, binafsi hayajanivutia kwa sababu hayana lengo linaloeleweka.
Uharibifu unaofanywa na waandamanaji kama kuiba na kupora Mali za watu hii inaonyesha maandamano hayo hayana lengo.
Ilianza na kutaka budget irekebishwe kwa kile walichodai maisha magumu...
Ni basi tu Wakenya wamepinda kama Wazulu wa South Affruca ila unapo kuja kuangalia kiwango cha Viongozi kuwasikiliza wananchi, basi Kenya kuna unafuu ukilinganisha na Tanzania, shida iko tu kwamba Tanzania ni mazeseta basi.
Viongozi wamejawa sana na Viburi na Dharau sana n kebehi, nakumbuka...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali. Kufuatia mahojiano ya jana, kwenye Star TV, imethibitishwa pasi shaka kuwa ni kweli muhojiwa hana vyeti vya elimu zaidi ya cheti cha darasa la saba tuu ndicho chenye jina lake alilopewa na wazazi wake pale alipozaliwa kijijini Kolomije na kuandikishwa Shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.