HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Tabia ya viongozi wa nchi hii kujiona wao ndiyo bora na ndiyo wanastahili kuishi maisha bora kuliko watu wao iko siku itawagharimu.
Wanaishi maisha kifahari,wanaiba ,wanajisikia,waongo,ujanjaujanja,nk kwa sasa wanakoelekra ni kubaya kwani watu wanaelekea kichoka.
Raia wa kawaida wanamaisha magumu sana ila wao viongozi wanamiliki magari,majumba,nk na serikali pia inamiliki magari ya kifahari,why?
Ni wakati sasa wa kuwadhiti hao viongozi kwa kuwaonesha nguvu ya umma kwa kuchoma majumba yao,magari yao,magari ya serikali ya kifahari,kuzuia akaunti zao,nk