HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Kama nchi za nje wameweza kuzuia misaada kwa serikali tu bila mashirika kuguswa basi nchi hizo zitusaidie kuwabana viongozi kulipa mikopo wanayokopa kwao na kuishia mifukoni mwa viongozi.
Hii inaweza kufanyika kwa kuutaifisha na kuuza mali zao au kwa kukamata akaunti zao
Hii inaweza kufanyika kwa kuutaifisha na kuuza mali zao au kwa kukamata akaunti zao