Kwanini Viongozi ' Waandamizi ' na ' Waliostaafu ' bado huwa wanapewa Vyeo badala ya kuachwa Wapumzike?

Boss Gellangi Kuna Binadamu asiyezaliwa??? !!! Mwaka 1961 nilikuwa sijazaliwa.
Duuu ... Maswali mengine Buaanaa, Kwa maana hiyo haujui Viongozi wanaingiaje kwenye Uongozi???!!!

Nyerere naye aliandaliwa kuwa kiongozi na Waingereza?Mimi nalidhani viongozi huzaliwa,na hao vijana unaowasemaea wanafanyavibaya wameingiaje kwenye huo uongozi?Je,walistahili wawe viongozi kweli?
 
Always remember: in African political economy what is practical is not always logical; what is logical is not always right; what is right is not always ethical; what is ethical is not always desired; what is desired is not always practical!
 
GENTAMYCINE ,

Unataka tuwe kama huko kwenu Rwanda; ambapo Wazee na wastaafu huwa MnawaKagamelize?

Tunawapa vyeo kwa sababu bado wanaishi!!!

Sisi hata waliofariki wanateuliwa mfano: Kigoda cha Mwl. Nyerere.

Najua hutaelewa
 
Leo nikijibiwa na Kuelemishwa ' Kiutaalam ' kabisa katika hili nililouliza nitawashukuruni sana Wadau. Na kama tulikuwa kumbe bado tunawahitaji kwanini wakati tukijua wanakaribia Kustaafu ' Utendaji ' wao Serikali basi tusingewaongezea tu muda na waendelee kuwatumikia Watanzania?

Kuna Mzee Mmoja ( Mwandamizi ) kabisa ila ( namhifadhi ) anajulikana kabisa kuwa ana matatizo ya Kiafya na kuna muda huwa nabahatika hata kukutana na Wanafamilia wake na wanasema kuwa kuna muda huwa anaanguka na ' Kuzimia ' huku ameshaanza kukosa hadi Kumbukumbu muda mwingine lakini nae ' ameteuliwa ' kuongoza ' Taasisi ' fulani ya ' Kitaaluma ' hapa nchini.

Je, huku kuwapa hawa ' Wastaafu ' hivi Vyeo siyo kuwakosea adabu Watendaji wengine Serikalini ambao nao muda wao wa Kushikilia hivyo Vyeo umefika au nao wanastahili sasa kuwa hapo na badala yake ' tunawazawadia ' hawa Wastaafu ambao wengine kwa matatizo yao ya Kiafya hata Kuona Kwao tu sasa ni tatizo? Hivi hapa tunajenga au tunabomoa? Kama hatutaki ' Kuwastaafisha ' na kuwaacha hawa Wazee waliokwishaitumikia hii nchi tunajenga nini kwa Vijana waliopo Vyuoni na hata wale ambao wanahangaika kutafuta Ajira na hawazipati wakati Sifa wanazo tena wakiwa bado ni Vijana kabisa na wana nguvu nyingi za Kiutendaji?

Karibuni.
Magufuli anajaribu kutafuta huruma ili asikatwe 2020 kwa kuwapa vyeo watu wa wodini , lengo ni kushawishi wadau waone bado anawaheshimu wazee
 
GENTAMYCINE ,

Unataka tuwe kama huko kwenu Rwanda; ambapo Wazee na wastaafu huwa MnawaKagamelize?

Tunawapa vyeo kwa sababu bado wanaishi!!!

Sisi hata waliofariki wanateuliwa mfano: Kigoda cha Mwl. Nyerere.

Najua hutaelewa

Moja kati ya watu walioongea pumba kwa mwezi huu katika JF basi ww ni mmoja wapo sio Kila mada lazima ukoment nyingine unazimezea tu
 
@ Iblis Bin Shetan, post: 33250272, member: 508832"]
Moja kati ya watu walioongea pumba kwa mwezi huu katika JF basi ww ni mmoja wapo sio Kila mada lazima ukoment nyingine unazimezea tu
[/QUOTE]

Katika comment hiyo kwenye ile aya ya mwisho niliandika hivi
"Najua hutaelewa"...

Just take it easy, my comment was not meant for you guy its only for intellectuals.
 
Nafasi wazipatazo nyingi ni ceremonial
Kisaikolojia mtu aliefanya kazi miaka 40 mfululizo,akistaafu akikosa la kufanya anaweza kufa mapema,si ajabu hata huo ugonjwa ni kutokana na kukosa cha kufanya
Kazi kama ya mkuu wa chuo ndio zinawafaa,akatunuku watu nondo
 
Kuna kazi zingine katiba imeanisha kabisa lazima iwe ya jaji mstaafu
Mwenyekiti wa tume ya kurekebisha sheria
Mwenyekiti wa tume ya madili
Tume ya uchaguzi
 
Wasalaam, nimetafakari kwa kina na kimsingi sikubaliani juu vigogo wa CCM kustaafu, kulipwa penshen ya mamilioni, kisha kuajiriwa tena wakati tuna Watanzania lukuki tena wasomi hawana ajira. Ifatayo ni list ya Viongozi waandamizi waliostaafu na kulipwa mamilioni kisha kuajiriwa tena:
1.Mzee Kikwete
2.Mzee Mkapa
3.Mzee Mwinyi
4.Mzee Pinda
5.....
 
Wasalaam, nimetafakari kwa kina na kimsingi sikubaliani juu vigogo wa ccm kustaafu, kulipwa penshen ya mamilioni, kisha kuajiriwa tena wakati tuna watanzania lukuki tena wasomi hawana ajira. Ifatayo ni list ya viongozi waandamizi waliostaafu na kulipwa mamilioni kisha kuajiriwa tena:
1.mzee kikwete
2.mzee mkapa
3.mzee mwinyi
4.mzee pinda
5.....
Mhe. Achana na hiyo sasa ... Kuna zile ajira za muda mfupi mfano ( uchaguzi) kuandikisha Majina ya Wapiga Kura na Kutoa vitambulisho ...lakin kipaumbele wanapewa wale wale .. Watumishi wa serikali ... Eti Serikali itasaidia kupunguza unemployment mtaani Subutuuuuu!! ...

Mtu anamshahara wake lakin Bado tena anataka kuchukua ajira ya muda mfupi ... Hahaha
 
Sio mshahara tu wanàlipwa pensheni kila mwezi, wanalipiwa nyumba, umeme, usafiri ulinz n.k
 
Wasalaam, nimetafakari kwa kina na kimsingi sikubaliani juu vigogo wa CCM kustaafu, kulipwa penshen ya mamilioni, kisha kuajiriwa tena wakati tuna Watanzania lukuki tena wasomi hawana ajira. Ifatayo ni list ya Viongozi waandamizi waliostaafu na kulipwa mamilioni kisha kuajiriwa tena:
1.Mzee Kikwete
2.Mzee Mkapa
3.Mzee Mwinyi
4.Mzee Pinda
5.....
Sio kweli kuwa hawa wazee wameajiriwa. Hawana mshahara kwa majukumu yoyote ambayo wamepewa kuyasimamia. Tafsiri sahihi ya kuajiriwa na sharti ulipwe mshahara kwa majukumu ufanyayo. Hawa wazee hakuna wanacholipwa na teuzi zao kimsingi si za utendaji ni ceremonial
 
Leo nikijibiwa na Kuelemishwa ' Kiutaalam ' kabisa katika hili nililouliza nitawashukuruni sana Wadau. Na kama tulikuwa kumbe bado tunawahitaji kwanini wakati tukijua wanakaribia Kustaafu ' Utendaji ' wao Serikali basi tusingewaongezea tu muda na waendelee kuwatumikia Watanzania?

Kuna Mzee Mmoja ( Mwandamizi ) kabisa ila ( namhifadhi ) anajulikana kabisa kuwa ana matatizo ya Kiafya na kuna muda huwa nabahatika hata kukutana na Wanafamilia wake na wanasema kuwa kuna muda huwa anaanguka na ' Kuzimia ' huku ameshaanza kukosa hadi Kumbukumbu muda mwingine lakini nae ' ameteuliwa ' kuongoza ' Taasisi ' fulani ya ' Kitaaluma ' hapa nchini.

Je, huku kuwapa hawa ' Wastaafu ' hivi Vyeo siyo kuwakosea adabu Watendaji wengine Serikalini ambao nao muda wao wa Kushikilia hivyo Vyeo umefika au nao wanastahili sasa kuwa hapo na badala yake ' tunawazawadia ' hawa Wastaafu ambao wengine kwa matatizo yao ya Kiafya hata Kuona Kwao tu sasa ni tatizo? Hivi hapa tunajenga au tunabomoa? Kama hatutaki ' Kuwastaafisha ' na kuwaacha hawa Wazee waliokwishaitumikia hii nchi tunajenga nini kwa Vijana waliopo Vyuoni na hata wale ambao wanahangaika kutafuta Ajira na hawazipati wakati Sifa wanazo tena wakiwa bado ni Vijana kabisa na wana nguvu nyingi za Kiutendaji?

Karibuni.
Tuache Dharau.
Wazee Ni Hazina ya Taifa.
Acha waajiriwe. Hakuna kitu kinaitwa kupumzika. Kupumzika unakokutaka wewe, ndio kutawapelekea wafe Haraka. Ubize unaimarisha Afya zao. Na busara zao zaimarisha Taifa.
 
Back
Top Bottom