Uchaguzi 2020 Kwanini viongozi wetu wa Dini wanatusisitiza sana tudumishe amani yetu, lakini wanashikwa na kihoro kuwaambia wanasisiasa wetu watende haki?

Huwa nashangaa Sana muislamu kumshabikia mtu anaewatesa na kuwanyanyasa Sana waislamu, musiba angekuwa ni muislamu siku nyingi Sana angeshaozea ndani, lakini wengine wakitoa maoni yao jela zinawahusu.
Kwann mnaendekeza Sana njaa ya vitu vidogovidogo hata kwa kuzidhalilisha dini zenu?
 
Hata hivyo asimgeuze Mungu wetu kama mtani wake..........

Dawa.yake ni wananchi tujitokeze tarehe 28 mwezi huu kumpigia kura yule mwenye Sera ya maendeleo ya watu na tuimwage kabisa Pombe ambayo ni "unfit for human consumption"
Mungu yupi tena wakati tuliambiwa yeye ni mungu.
 
Kwa mujibu wa Quran Waislamu wamegawanyika sehemu mbili
1::Waumini
2::wanafiki
Sasa Tanzania wanafiki ni wengi kuliko waumini
 
Kinachoinua taifa ni haki, Mungu anasisitiza juu ya kutoa hukumu ya haki. Amani, upendo, furaha ni matokeo ya haki.
 
Mungu yupi tena wakati tuliambiwa yeye ni mungu.
Mungu yupo mmoja tu, ambaye ndiye huyu aliyeumba mbingu na dunia na viumbe wote wa dunia hii, hao wanaojiita miungu wengine na hawa wengine wanaosema watatuma "application" zao kuomba ukuu wa malaika wanasherehesha shugulhuli tuu!
 
Viongozi wa dini gani? Kama ni BAKWATA wanajulikana wazi kuwa ni vibaraka wa CCM, na kama ni CCT ndio wale wake tu viongozi waliojaa unafiki
 
Mkuu Simba zee 33.
Taarifa hiyo hapo juu ni ya kweli?
 
Duuh! Kwa hiyo tayari atakuwa ashanunuliwa na jiwe!

Huu utawala haramu unaendesha mambo kimafia
 
Kwa mujibu wa Quran Waislamu wamegawanyika sehemu mbili
1::Waumini
2::wanafiki
Sasa Tanzania wanafiki ni wengi kuliko waumini
Nitaamini kwamba Magufuli anauwezo wa kipekee (hata sawa na wa ki-mungu), kama uliyoyaeleza hapo juu kuhusu Ponda ni ya kweli!
 
Nitaamini kwamba Magufuli anauwezo wa kipekee (hata sawa na wa ki-mungu), kama uliyoyaeleza hapo juu kuhusu Ponda ni ya kweli!
Astaghfirullah...
Hana uwezo kiasi hicho ila anatumia udhaifu wa wanafiki.... Aidha uende jela au uishi kama sultan
Hata Enzi za MAKABURU kule sauzi kulikua na wazalendo wanawauza wenzao halafu wanaishi kifalme
 
Mkuu 'Mystery', sijui kama umesoma taarifa aliyoandika mkuu Simba zee hapo juu.

Sina hakika kama taarifa hiyo ni ya kweli; na kama ni kweli, basi tuombe sana.
Kalamu 1
Hata Mimi zimenishtua sana taarifa hizo na kama ni kweli basi hakika viongozi wetu wa dini watakuwa wamepotezwa!
 
Neno moja-HAKI limewashinda waimba mapambio wote yaani siyo Alhad na timu yote ya wahubiri wa Amani,Bashiru,Polepole,kina Diamond&co,Samoa,Majaliwa+timu yote ya Kibajaji,Msukuma etc bila kuwasahau....
Jambo LA Msingi ni Uhuru,Haki na Maendeleo tunayoyataka na kujiletea wenyewe.Mengine yote ni porojo tu!
 
Exactly by 100%

Tunapaswa wananchi wote twende kwa pamoja na Sera ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu. OVA
 
Hawawajibiki wanapotenda na kutimiza maelekezo ya aliyewateua,kuna Uvunjifu wa Katiba na ni jukumu la wananchi kuhakikisha wanatumia njia ya uchaguzi kuwaondoa watawala na kuchagua viongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…