Kuna viongozi wa kisiasa na Viongozi wa Serikali ,kiongozi wa kisiasa ni lazima awe mbishi au mwenye kupinga na kujua mbinu za kuzima na kutuliza ila kiongozi wa serikali anatakiwa kuwa mkweli na mwenye kuwajibika na uwongo kwake ni mwiko halikazalika kukwepa kujibu ni kushindwa katika fani ya cheo alichonacho katika serikali na anakuwa hafai.
Hivyo ukiona kuna viongozi wa aina hiyo ya kuzima na kukwepa basi inatakiwa kwa haraka umuelewe kuwa huyo si kiongozi bali ni kihio tena mbabaishaji tu hafai kuwepo madarakani katika serikali.
kuna wakati nimewahi kufikiri kwamba viongozi wetu wamewahi kutumia 'bange' au mihadarati fulani ujanani mwao!
Mtu anaposema:
-HIVYO NI VIJISENTI TU
-NCHI IKIKAA GIZANI TUSILAUMIANE
-BORA WANANCHI WALE HATA NYASI ,LAKINI NDEGE YA RAIS LAZIMA INUNULIWE
lol!
drugs hazina watu makini!unaweza kuwa 'mmakini wa kwanza' utatumia sana lakin YOU MUST SUFFER THE CONSEQUENCESHili ni tusi kwa watumiaji makini.
drugs hazina watu makini!unaweza kuwa 'mmakini wa kwanza' utatumia sana lakin YOU MUST SUFFER THE CONSEQUENCES
Mkuu, wala hujasema Uongo..Ni dalili ya kutostaarabika na kabla sijatupiwa kombora
anayepingana na dai hili anathibitisha tu usahihi wake
- watanzania si wastaarabu.
Mstaarabu hukubali anapokosea na kuwajibika
pindi akikosolewa na hivyo kurekebisha tabia yake.
Kwa nini tunakosa ustaarabu?
Asiye na ustaarabu ama huchagua lililo bovu
au kutenda lisilokubalika - ni malezi ya CCM ?
hakika hatuna ustaarabu.
Katika Nchi yetu Viongozi wetu wa kisiasa wamekuwa wagumu sana kuomba msamaha wanapokosea,sababu ni nini?Mfano tu,Waziri anajibu swali la mbunge kwa kusema "na wewe tafuta hoja nyingine",kuna vitisho mbalimbali katika uchaguzi n.k. wana JF mnafahamu zingine,Je ni mazingira ya siasa za Tanzania ndio imewalea hivyo au tatizo ni sheria zilizopo?

Sasa Kikwete ni kiongozi wa kisiasa au kiserikali? Na kuongoza serikali ni nini kama sio siasa?