Nabii wenu Nuhu aliingia na nguruwe kwenye safina?Ni kwa sababu.
Vitabu vya mungu vipo mbele ya MUDA.
Mungu alijua madhara ya kula hizo nyama ndo maana akakataza
KATAZO HALIKO KWENYE KULA KULA TU KASOME VIZURIUnaweza kupata anthrax/kimeta kutoka kwa ng'ombe, mbuzi na kondoo ambao hawajakatazwa kuliwa.
Alimla?Nabii wenu Nuhu aliingia na nguruwe kwenye safina?
Hijajibu swaliAlimla?
Baada ya gharika majani yalipotea,!Mungu akaruhusu baadhi ya mifugo kukiwa ,mambo ya walawi 11.Hamna Cha kuhoji.Kwa Wakristo katika agano la kale ambalo bado linazingatiwa kwa kiasi kikubwa na Wasabato kuna wanyama walikataza kuliwa maarufu zaidi akiwa nguruwe/kitimoto wengine ni kama Sungura na ngamia. Samaki Kambale nao walikatazwa.
Kwa Waislamu wao najua nguruwe/kitimoto ndiye mnyama maarufu zaidi mwenye katazo la kuliwa, sijui kama kuna wengine.
Ni kwa nini hasa hawa wanyama walikatazwa kuliwa katika hivi vitabu vya dini?
Kwahiyo biblia huwa inafanyiwa amendment mara kwa mara? Tutegemee kilicho katazwa sahivi huko mbele kinaweza kuruhusiwa? Kama alivyokatazwa nguruwe awali ila sasa analiwa?Kwa Wakristo katika agano la kale ambalo bado linazingatiwa kwa kiasi kikubwa na Wasabato kuna wanyama walikataza kuliwa maarufu zaidi akiwa nguruwe/kitimoto wengine ni kama Sungura na ngamia. Samaki Kambale nao walikatazwa.
Ngamia kwa waislam HANA KATAZO.Madhara ya kula nyama ya ngamia ni yapi??
Ndio.kwani alikula?Nabii wenu Nuhu aliingia na nguruwe kwenye safina?
Neno lenyewe biblia lilianza kutumika karne ya tatu AD, huko nyuma ilikuwa ni magombo, nyaraka au maandiko. Hata hivyo huu sio mjadala wa huu uzi, jikite kwenye mada.Kwahiyo biblia huwa inafanyiwa amendment mara kwa mara? Tutegemee kilicho katazwa sahivi huko mbele kinaweza kuruhusiwa? Kama alivyokatazwa nguruwe awali ila sasa analiwa?
Maswali mengine majibu yke ndo kma ayoHijajibu swali
Mi nimeuliza tu aliingia na nguruwe kwenye safina? Jibu ni simple ndiyo au hapana. Tunaeleweshana siyo kupanikishanaNdio.kwani alikula?
Aliingia nae sababu alitaka kuokoa vizazi vya wanyama.