Hata kuku tuache kula maana kuna mafua ya kuku,kideri,sotoka n.kMzee umeshasikia mpox,
Ebola,sars, na zoonotic diseases kibao
We endelea kutwanga tu nyama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kuku tuache kula maana kuna mafua ya kuku,kideri,sotoka n.kMzee umeshasikia mpox,
Ebola,sars, na zoonotic diseases kibao
We endelea kutwanga tu nyama
Kutokana na mabadiliko ya mara kwa mara ya biblia ni ngumu kuchangia mada yako, huenda huko mbele tukaruhusiwa tunayokatazwa sasa kama ilivyotokea kwa nguruweNeno lenyewe biblia lilianza kutumika karne ya tatu AD, huko nyuma ilikuwa ni magombo, nyaraka au maandiko. Hata hivyo huu sio mjadala wa huu uzi, jikite kwenye mada.
Kwa akili tu ya kawaida,,wewe unaweza kula kenge,mjusi au bundi?Kwa Wakristo katika agano la kale ambalo bado linazingatiwa kwa kiasi kikubwa na Wasabato kuna wanyama walikataza kuliwa maarufu zaidi akiwa nguruwe/kitimoto wengine ni kama Sungura na ngamia. Samaki Kambale nao walikatazwa.
Kwa Waislamu wao najua nguruwe/kitimoto ndiye mnyama maarufu zaidi mwenye katazo la kuliwa, sijui kama kuna wengine.
Ni kwa nini hasa hawa wanyama walikatazwa kuliwa katika hivi vitabu vya dini?
Kuna wengine wanavuka mipaka wanawinda mpaka wale wanaofanana kabisa na binadamu tofauti ni mikia tuKwa Wakristo katika agano la kale ambalo bado linazingatiwa kwa kiasi kikubwa na Wasabato kuna wanyama walikataza kuliwa maarufu zaidi akiwa nguruwe/kitimoto wengine ni kama Sungura na ngamia. Samaki Kambale nao walikatazwa.
Kwa Waislamu wao najua nguruwe/kitimoto ndiye mnyama maarufu zaidi mwenye katazo la kuliwa, sijui kama kuna wengine.
Ni kwa nini hasa hawa wanyama walikatazwa kuliwa katika hivi vitabu vya dini?
Walikuwa wachache sana wakati huo yaani "endangered Spish" lakini kumbuka kuwa hivi Vitabu havijafanyiwa update ndiyo maana hiyo katazo bado ipo vitabuni lakini kiuhalisia huko Mitaani Kitimoto, Sungura, Ngamia na Kambale ndiyo habari ya Mjini.Kwa Wakristo katika agano la kale ambalo bado linazingatiwa kwa kiasi kikubwa na Wasabato kuna wanyama walikataza kuliwa maarufu zaidi akiwa nguruwe/kitimoto wengine ni kama Sungura na ngamia. Samaki Kambale nao walikatazwa.
Kwa Waislamu wao najua nguruwe/kitimoto ndiye mnyama maarufu zaidi mwenye katazo la kuliwa, sijui kama kuna wengine.
Ni kwa nini hasa hawa wanyama walikatazwa kuliwa katika hivi vitabu vya dini?
kiswahili kinasema ni najisiKwa Wakristo katika agano la kale ambalo bado linazingatiwa kwa kiasi kikubwa na Wasabato kuna wanyama walikataza kuliwa maarufu zaidi akiwa nguruwe/kitimoto wengine ni kama Sungura na ngamia. Samaki Kambale nao walikatazwa.
Kwa Waislamu wao najua nguruwe/kitimoto ndiye mnyama maarufu zaidi mwenye katazo la kuliwa, sijui kama kuna wengine.
Ni kwa nini hasa hawa wanyama walikatazwa kuliwa katika hivi vitabu vya dini?