Kwanini Vitambulisho vya Taifa kutokubalika kwenye matumizi sehemu nyingi au kutokuwa na maana sehemu tofauti

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Unasajiri laini ya simu kwa NIDA ila cha kushangaza wanakuwekea ndani ya miezi mitatu imefutwa.

Unaenda kuomba mkopo benki lakini kitambulisho cha NIDA ni kama umepeleka Passport tu kwa nijuavyo.

Suala la kitambulisho cha taifa tulivolichukulia kiukweli tumekosea kiwango kikubwa tena kiusalama.

Ukiwa kwa wenzetu kupata kitambulisho cha taifa sio jambo la mchezo na sio wote watapa kitambulisho kama huku tunavofanya utazani leseni ya pikipiki.

Taasisi kama benki na nyingine sio kama zinashindwa kukosoa Serikali kwa hili jambo sababu ni hizo za utoaji wa vitambulisho leo unashangaa mpaka sio raia anamiliki kitambulisho.

Ukienda mamlaka wanazotoa vitambulisho unaona kabisa ni kama kitu kinachotolewa tu bila umakini.

Kitambulisho ni nyaraka muhimu sana na utoaji wake unavofanywa.

Taarifa za mpaka unapata kitambulisho kwakweli haziwezi kumuaminisha taasisi binafsi kama mabenki.

Ni hayo tu kwangu kesho unashangaa Mkenya kapata kitambulisho
 
Ajabu miaka yote tangu zoezi hili lianze mpaka leo vitambulisho hatupewi...

Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom