Naamini kwa asilimia kubwa hawawasaidii wenye shida bali wanawatumia kama mitaji ya kujitajirisha kwa haraka.Kiujumla, gharama za kukopa Tanzania hata kupitia kwenye mabenki ni kubwa mno.
Naamini kwa asilimia kubwa hawawasaidii wenye shida bali wanawatumia kama mitaji ya kujitajirisha kwa haraka.
Hamna kitu matapeli tu hao ...unampoteza mwenzio ...bora yeye voda wanampa laki ...huko unakopataja mwisho elfu 30 ...tala wezi tuKeynez ukitaka mikopo ya namna hiyo jaribu kukopa Branch, au Tala wako vzuri ukilipa kwa wakati wanakopesha mpaka milioni, halafu hiyo avatar yako ya bulls nimewahi kuiona mahala Fulani .....hope wewe ni forex trader
Hii branch inatoa pesa kwa akina nani, sijasikia mtu kakopeshwa huko maana ata mimi walinigomeaKeynez ukitaka mikopo ya namna hiyo jaribu kukopa Branch, au Tala wako vzuri ukilipa kwa wakati wanakopesha mpaka milioni, halafu hiyo avatar yako ya bulls nimewahi kuiona mahala Fulani .....hope wewe ni forex trader
Hii branch inatoa pesa kwa akina nani, sijasikia mtu kakopeshwa huko maana ata mimi walinigomea
Hamna kitu matapeli tu hao ...unampoteza mwenzio ...bora yeye voda wanampa laki ...huko unakopataja mwisho elfu 30 ...tala wezi tu
Ukienda ofisini itakua nzuri zaidi mkuu wakuone liveItabidi niende ofisini kwao hawa Vodacom wanieleze tatizo ni nini. Hawa wengine wana complications zaidi ya mabenki.
M-Pawa limit inaongezeka kulingana na matumizi yako ya huduma zetu 9 za kawaida na za M-Pesa pia) ndugu Jeb.Wagumu sana Vodacom Tanzania kuongeza M-PAWA Limit, sio wewe tu mkuu...
Duh mama yako ana bahati
Asante kwa kuja Vodacom Tanzania, trully appreciated...M-Pawa limit inaongezeka kulingana na matumizi yako ya huduma zetu 9 za kawaida na za M-Pesa pia) ndugu Jeb.